Tetesi: Mkesha wa Leo chukueni hatua za kiusalama

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,700
Reaction score
58,747
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa Kuna wahuni wanapanga kwenda kufanya fujo kanisani hasa RC

Watu hao watabeba siraha kwenye mabegi lengo ni kuchafua kanisa lionekane ni kanisa la wahuni na waharifu.

Pia Kuna viashiria vya matukio ya kigaidi ndani ya kanisa leo na kesho

Wito vyombo vya usalama fanyeni majuku yenu wahuni wapo kazini kueneza udini na kuichafua TANZANIA.

Makanisa hasa RC chukueni hatua haraka Sana.
 
Hapa nilipo mkoa X nimeona askari wamevaa kofia nyekundu na mabunduki.Ila siwezi kufungua kinachofanyika na ujumbe wako ni kweli ila wapo watakao vaa kirahia na washa soma ramani kufanya hivyo kusema ni wananchi.
 
Nitakuwepo kanisani leo usiku,lolote likinikuta itakuwa limenikuta katika kuutetea ukristo na nitapalizwa mbinguni kwa Bwana.

Kanisa ni Jengo tu mkuu na sio gate pass ya Kwenda mbinguni.

Ukiambiwa jambo chukua tahadhari zote muhimu .

Kwakuwa life au uhai is none -refundable , once umeondoka.
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa Kuna wahuni wanapanga kwenda kufanya fujo kanisani hasa RC

Watu hao watabeba siraha kwenye mabegi lengo ni kuchafua kanisa lionekane ni kanisa la wahuni na waharifu.

Pia Kuna viashiria vya matukio ya kigaidi ndani ya kanisa leo na kesho

Wito vyombo vya usalama fanyeni majuku yenu wahuni wapo kazini kueneza udini na kuichafua TANZANIA.

Makanisa hasa RC chukueni hatua haraka Sana.
Bulicheka na wanawe!
 
Kanisa ni Jengo tu mkuu na sio gate pass ya Kwenda mbinguni.

Ukiambiwa jambo chukua tahadhari zote muhimu .

Kwakuwa life au uhai is none -refundable , once umeondoka.
bado unaogopa kufa mkuu? Tulizaliwa ili tufe.
 
Back
Top Bottom