The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,226
- 116,839
Wakati wa mgogoro mkubwa wa CHADEMA hasa kati ya Zitto na Mbowe niliwahi kuandika humu kuhusu Mbowe kuwa ni 'mtoto wa mjini'
sishangai Zitto kushindwa.... Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...
Zitto pengine alijiona msomi na mwenye akili zaidi....
Mbowe ni former Dj wa night club..tu but 'utoto wa mjini' ni kitu extra kilichomfanya somehow licha ya kuwa na wasomi na watu wenye vipaji vya kila aina ndani ya CHADEMA na nje ya chama but yeye ndo TOP....Mwenyekiti mwenye last say ya chama..
Sasa Magufuli na Makonda ni dhahiri wako kwenye vita na 'watoto wa mjini'. Mbowe wamemfilisi mali zake baadhi...Bilicanas wameivunja now tunaona 'watoto wa mjini' Clouds Group sekeseke lilitokea
Tusisahau hata Magufuli anaporusha madongo kwa JK na serikali yake anarusha madongo kwa 'Mtoto wa mjini' pekee aliefanikiwa kuwa Rais..wa Tz..
Sifa za watoto wa mjini ni kuheshimiana.....ndo maana Mbowe na JK ni marafiki na watabaki marafiki
Si ajabu kukuta Mbowe na JK ni marafiki zaidi kuliko JK na Magufuli.
Sifa nyingine ya watoto wa mjini ni uwezo wa kutabasam na kucheka na 'nyoka'. Hata uwaoneshe uadui kiadi gani ..watakuchekea tu kiaina...hadi wakupatie 'timing'
Sifa ingine ya watoto wa mjini..'uwezo wa ku survive hard times'. Hutasikia Mbowe akimlalamikia Magufuli kuhusu mali zake...kimya kimya atasubiri.
Wapo walionyang'anywa mali na Nyerere na wakaja kupata mara 100 ya mali zao Nyerere alipoondoka na husikii wakimponda Nyerere... Sanasana utawasikia wakimsifia 'baba wa Taifa'....
Hao ndo watoto wa mjini.....Magufuli na Makonda watapita tu kama upepo. Watoto wa mjini hawajawahi 'kushindwa'...
So nilipomuona Ruge akiongea kwenye TV binafsi naamini Ruge anajua 'visasi' vinavyoweza kumkumba but mwisho 'wata survive' tu...
Kuzaliwa mjini ni 'advantage' unique sana......ni kama nzi wanavyosema 'we ukijua hivi, wenzio wanajua vile'...