Tenda wema nenda zako

Tenda wema nenda zako

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,897
Reaction score
18,509
Watu kuna vitu vingi wa wanasiasa watu wadini huwa wanapotosha uenda kanisani wanasiasa na kutoa SADAKA kubwa na DHAKA kubwa MUNGU hayuko ivyo tenda wema nenda zako kama ufanyi haya hiyo ni kazi bure. MUNGU hakuna kitu unaweza kumpa kama kumuonga au Sadaka maana vyote vilivyomo ni mali yake.
 
Halafu, mi nakwambia ukweli tupu, najuwa utanichukia ila ni Bora nikwambie ukweli

Kajifunze kuandika kwanza
 
Imeandikwa,
"mshike sana elimu, udimwache aende zake"

na tena ikaandikwa,
"watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa"

Kama taifa la Mungu,
ni vizuri kuishi katika maneno haya ya kibiblia, otherwise utajikuta mtu una elimu lakini unaishia kususia vitu muhimu kama vile uchaguzi au chakula, vitu ambavyo vina athari za moja kwa moja kwako wewe binafsi.

Zaidi sana,
Kukosa maarifa baada ya kupuzia elimu, kunaweza kukupelekea kuangamia kibwege au kilofa sana aise.

Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Na Mungu hamtupi mja wake🐒
 
Watu kuna vitu vingi wa wanasiasa watu wadini huwa wanapotosha uenda kanisani wanasiasa na kutoa SADAKA kubwa na DHAKA kubwa MUNGU hayuko ivyo tenda wema nenda zako kama ufanyi haya hiyo ni kazi bure. MUNGU hakuna kitu unaweza kumpa kama kumuonga au Sadaka maana vyote vilivyomo ni mali yake.
Shukrani mwacĥie shetani akitaka akupe ama akunyime¡
 
Halafu, mi nakwambia ukweli tupu, najuwa utanichukia ila ni Bora nikwambie ukweli

Kajifunze kuandika kwanza

Wewe siwezi kukuchukia pambana na maisha yako
Kwanza uweze kula mara 4 kwa siku
 
Back
Top Bottom