Ushauri kwa CHADEMA na Lissu

Ushauri kwa CHADEMA na Lissu

Bwana Lisu, usiache kula, kwa vile 6.11.2026 ni hukumu, let us wait for the hukumu, then from there, you and Chadema and all Well Wishers can decide the way forward!

Ni hilo tu kwa leo!
pwagu na pwaguzi wana shauriana jukwaani dhidi ya upotofu wao :pedroP:
 
Unajua kwanini wanamzuia kuonana na mawakili wake Karibu na hukumu,wanataka wamlazimishe surrender kabla ya hukumu na hawataki watu wa nje tujue ndiyo maana wanataka kumonitor Kila anachoongea.
Mapambano ni magumu
si alisema anajitetea mwenyewe na alifanya hivyo mwanzo hadi mwisho wa kesi na sote ni mashahidi?

kuna muujiza gani hapa katikati ambako hakuna tena utetezi hata sasa huyo muhaini aone umuhimu wa kua na mawakili?

mbona hiyo fursa alikua nayo tangu mwanzo wa kesi na akaipuuza mwenyewe?

ni wapi duniani mtuhumiwa anaesubiri hukumu anapata fursa ya kuzungumza na mawakili wake? akutane na mawakili ambao hawakuhusika mwanzo hadi mwisho wa kesi ili utokee muujiza gani? :NoGodNo:
 
Unajua kwanini wanamzuia kuonana na mawakili wake Karibu na hukumu,wanataka wamlazimishe surrender kabla ya hukumu na hawataki watu wa nje tujue ndiyo maana wanataka kumonitor Kila anachoongea.
Mapambano ni magumu
Ukisikia umbeya ndo huu sasa!
 
Tatizo siyo kususa kula tatizo anasema hana imani na uongozi wa magereza maana kama mahakama imetoa amri juu ya haki zake na magereza imegoma kumpa haki hizo hivyo hata chakula chao anakitilia mashaka
 
wakimhukumu kunyongwa, definitely he will appeal....hapa sasa anagoma kula mpaka awe na faragha na mawakili wake....
 
Back
Top Bottom