Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni aliyekuwa mbunge wa huko Njombe na waziri katika serikali ya awamu ya kwanza na ya pili Mhe. Jackson Makwetta amefariki dunia jioni ya leo. Alazwe pema peponi Chanzo: Ndugu wa karibu na...
6 Reactions
141 Replies
28K Views
Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
17 Reactions
177 Replies
30K Views
Da! Kifo cha Pande kimeniumiza mno. Alipokuwa ofisi ya DPP kanda ya Mbeya kabla ya kupandishwa cheo mara kadhaa alikuwa anakataa kesi za mchongo dhidi yangu alizopelekewa na polisi. Alishawahi...
23 Reactions
38 Replies
7K Views
Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan "Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Taarifa zaidi zitaendelea kutufikia. Poleni kwa msiba mkubwa!
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Mhe. Muharami Shabani Mkenge, Amepokea kwa Masikitiko Makubwa kifo Cha Diwani Kata ya Fukayosi Mhe Ally Ali Issa Anatoa pole Kwa Mhe DC, Mkurugenzi Halmashauri...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari. Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake...
2 Reactions
60 Replies
12K Views
Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam. Katibu wa Habari...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu. Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu...
8 Reactions
106 Replies
17K Views
Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki...
19 Reactions
85 Replies
6K Views
Mwanazuoni na sheikh maarufu Maalim Basaleh amefariki dunia leo Jumapili katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu akisumbuliwa na matatizo ya figo na saratani. Mtoto wa marehemu...
16 Reactions
67 Replies
8K Views
Mzee huyu maarufu ndani ya mkoa wa iringa mwanachama wa chadema na bingwa wa propaganda za kisiasa ameaga dunia . Chadema watammiss Sana hasa ukizingatia kua pia alikua campaign manager wa Msigwa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Marehemu John Chipaka enzi za uhai wake. Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani nchini cha TADEA, John Lifa Chipaka amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Ibrahim Haji ya...
14 Reactions
101 Replies
19K Views
Salaam, Mbunge wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya kupitia tiketi ya chama cha CCM, ndungu Francis Leonard Mtega amefariki dunia leo. Update zote kuhusu maziko, ugonjwa na msiba nitaleta hapa...
12 Reactions
200 Replies
31K Views
Waziri wa zamani wa Uchukuzi William Kusila (78) amefariki dunia leo mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili . Chanzo : Mwananchi
9 Reactions
61 Replies
9K Views
Mkurugenzi wa Mipango Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Katiba na Sheria Dk. Abdul Mussa, amefariki dunia leo Jumapili Aprili 23, 2023 saa sita mchana baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Dar...
5 Reactions
78 Replies
8K Views
Kuna taarifa ya kufariki kwa huyu Major General Prof Yardon Mtarima Kohi,. Wana JF wanaomjua vizuri watupe umahiri wake
19 Reactions
100 Replies
14K Views
Hii ndio taarifa mpya iliyopatikana jana usiku, kwamba Mzee Isdory Shirima aliyewahi kuwa Mkuu wa Mikoa kadhaa nchini amefariki Dunia. Hakuna taarifa zaidi za matanga, Ugonjwa uliopelekea kifo...
10 Reactions
30 Replies
7K Views
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho imeeleza kwamba Mzee Masinde ambaye pia alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Chama hicho amefariki Dunia. Haikutajwa sababu ya kifo chake wala mahali alipofia...
10 Reactions
73 Replies
6K Views
Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS. Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP ===== Mtendaji Mkuu...
42 Reactions
447 Replies
110K Views
Back
Top Bottom