Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Je, ameamua kutumia mbinu hii ya kukiri kosa ili kuisaidia mahakama kuokoa rasilimali muda na kuishawishi kisheria imuonee huruma na kumpunguzia adhabu kali zinazoweza kutolewa dhidi yake kwa...
2 Reactions
83 Replies
1K Views
Niliamini busara itumike, tuwe na jezi iwe pride ya nchi. Tulipanga sisi wizarani jezi hiyo izinduliwe na mheshimiwa Rais. Wizara zote ziwepo, taasisi zote tulipanga tuzialike, tulikuwa na mpango...
2 Reactions
22 Replies
692 Views
Wanaume wamekuwa wakiongoza dunia kwa miongo mingi. Walianzisha mfumo dume Mwanaume humpa mimba mwanamke na azaapo, yeye huwamilki wote wawili. Wanaume wengi japo si wote, wajinga na wabinafsi...
3 Reactions
40 Replies
371 Views
Mungu kasema hivyo. Kuwa leo kila kitu kimekamilika. Pilato kanawa mikono kuwa mtu huyu ni mtakatifu. Hata mtoto wa IJA analiona hilo tamko la Mungu wetu mkuu.
3 Reactions
13 Replies
377 Views
Leo Mahakama Kuu Tundu A.M Lissu alikuwa anawasilisha hoja za mwisho za utetezi katika kesi ya uhaini inayomkabili aliyoshtakiwa na Jamhuri. Tundu Lissu ametumia jumla ya dakika 349 kuwasilisha...
13 Reactions
48 Replies
832 Views
Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake. Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana. Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule...
44 Reactions
110 Replies
2K Views
MAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA [Kanuni ya 32(4) ya Kanuni za Bunge Maalum...
5 Reactions
13 Replies
433 Views
Kuna vitu vinavuruga sana akili. Huyu na yeye ni Mwandishi wa habari? Huko tuendapo huenda “uandishi wa habari” ikageuzwa kuwa aina ya tusi. Maana uandishi unakufa mbele na mikononi mwa Waandishi...
5 Reactions
12 Replies
336 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amepuuza taarifa na uvumi unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa maandamano ya kuzuia michezo kuelekea...
2 Reactions
32 Replies
554 Views
Ndani ya CCM makamu wa Rais Dr.Emmanuel John Nchimbi, anapendwa sana, anaaminika sana na anakubalika kupindukia. Lakini ndani ya upinzani katika ujumla wao, makamu wa Rais Dr.Emmanuel John Nchimbi...
6 Reactions
45 Replies
602 Views
Heshima yenu wakuu na wanafamilia wote wa JamiiForums. Imekuwa ni desturi yetu kukutana hapa jukwaani kubadilishana mawazo, kutafakari, na kuweka mambo sawa pale tunapoona mustakabali wa taifa...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni...
19 Reactions
370 Replies
44K Views
Hakuna kazi ya hatari kama Ujasusi majukumu yake ni kukusanya taarifa nyeti kutoka mataifa mbalimbali ili kulinda maslahi ya nchi au kusaidia kufanya maamuzi sahihi kwa kuishauri serikali Ujasusi...
2 Reactions
11 Replies
182 Views
Huku tuko Eda! Na shughuli za kiserikali kila mtu ni msemaji wa serikali, Ila ninauliza tu?
1 Reactions
7 Replies
240 Views
Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu...
10 Reactions
124 Replies
1K Views
Wakati wa kuingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, akiwa pamoja na First Lady wa Marekani, Melania Trump, na...
2 Reactions
35 Replies
551 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…