Leo Mahakama Kuu Tundu A.M Lissu alikuwa anawasilisha hoja za mwisho za utetezi katika kesi ya uhaini inayomkabili aliyoshtakiwa na Jamhuri.
Tundu Lissu ametumia jumla ya dakika 349 kuwasilisha...
Ni kama mwezi sasa tokea aliyekuwa makamu wa Rais haramu ‘ajiuzulu’ hiyo nafasi yake.
Tokea afanye hivyo, hajasikika wala kuonekana.
Pia, sijamwona wala kumsikia hata ndugu yake yeyote yule...
MAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
[Kanuni ya 32(4) ya Kanuni za Bunge Maalum...
Kuna vitu vinavuruga sana akili. Huyu na yeye ni Mwandishi wa habari? Huko tuendapo huenda “uandishi wa habari” ikageuzwa kuwa aina ya tusi. Maana uandishi unakufa mbele na mikononi mwa Waandishi...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amepuuza taarifa na uvumi unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa maandamano ya kuzuia michezo kuelekea...
Ndani ya CCM makamu wa Rais Dr.Emmanuel John Nchimbi, anapendwa sana, anaaminika sana na anakubalika kupindukia. Lakini ndani ya upinzani katika ujumla wao, makamu wa Rais Dr.Emmanuel John Nchimbi...
Heshima yenu wakuu na wanafamilia wote wa JamiiForums. Imekuwa ni desturi yetu kukutana hapa jukwaani kubadilishana mawazo, kutafakari, na kuweka mambo sawa pale tunapoona mustakabali wa taifa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni...
Hakuna kazi ya hatari kama Ujasusi majukumu yake ni kukusanya taarifa nyeti kutoka mataifa mbalimbali ili kulinda maslahi ya nchi au kusaidia kufanya maamuzi sahihi kwa kuishauri serikali
Ujasusi...
Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu...
Wakati wa kuingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, akiwa pamoja na First Lady wa Marekani, Melania Trump, na...
Tangu ajali ya gari iliyotokea Singida na kuua mahabusu na askari wanaozungumziwa ni askari tu huku mahabusu hatujui kama wao bado wanaendelea na tuhuma dhidi yao,! Kumbe gari lilibeba watu na...
■Yaelezwa uwekezaji miaka saba wa afya ulivyookoa maisha
■Ndejembi atamba UN, Samia alivyokubali wajibu wa Afrika
■Ataka mfumo bora wa fedha wa kimataifa kwa maendeleo
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imewapiga marufuku mawakala wake kuwakamata madereva wa bajaji na pikipiki, kuwachomolea funguo au kufanya shughuli za utekelezaji wa sheria.
Hatua...
Tunajua Deogratious Ndejembi ametangulia New York..
Vipi Samia Suluhu Hassan, The Butcher atakwenda kweli kuungana na wakuu wa nchi na serikali zingine halali duniani kwenye mkutano mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.