Tundu Lissu. The man, the myth, the legend

Tundu Lissu. The man, the myth, the legend

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,380
Reaction score
56,035
Leo Mahakama Kuu Tundu A.M Lissu alikuwa anawasilisha hoja za mwisho za utetezi katika kesi ya uhaini inayomkabili aliyoshtakiwa na Jamhuri.

Tundu Lissu ametumia jumla ya dakika 349 kuwasilisha ‘final submission’ yake kwa siku ya leo pekee na bado hajamaliza hoja zake zote.

Tundu Lissu ameanza kuwasilisha hoja zake kutoka saa 9:30 asubuhi hadi saa 13:32 mchana ambazo ni jumla ya dakika 242 (sawa na saa 4 na dakika 2).

Akarejea tena alasiri baada ya kutoka katika health break. Kutoka saa 15:24 alasiri hadi saa 17:11 jioni ni jumla ya dakika 107 (sawa na saa 1 na dakika 47).

Kumbuka, Tundu Lissu anasimama dakika zote hizo 349 akiwa na majeraha ya kutisha ya risasi mwilini, oparesheni 21 na risasi nyingine mgongoni.

Anyways, bado hajamaliza kuwasilisha final submission yake. Tutaendelea kesho na kwa kuwa hukumu ya kesi hii ni kunyongwa TAL amesema;

“Kwa kuwa adhabu ya hukumu katika kesi hii ni kifo, mimi nitajitetea kwa kila kitu nilichonacho. I will defend myself with everything I have in my books”

Mwisho kabisa wakati anazungumza na wanahabari baada ya kesi kuhairishwa anasema “wanataka kuniyonga bila hata kukunyaga kanyaga hivi…”

MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
 
Hapa kwa mtu mwenye elimu ya hapa na pale lazima Jasho limtoke kwenye meno Leo tumepata tuition ya masaa 4 bila kupumzika vichwa karibu vipasuke hapa hata kabudi alikuwa anakula shule kwa kisiri wakina katuga walikuwa wanachukua hadi notes
Aisee the guy is very good. Kati ya Magwiji ya sheria nchini, nadhani Lissu ni namba moja
 
Back
Top Bottom