Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,883
- 27,355
Kuna vitu vinavuruga sana akili. Huyu na yeye ni Mwandishi wa habari? Huko tuendapo huenda “uandishi wa habari” ikageuzwa kuwa aina ya tusi. Maana uandishi unakufa mbele na mikononi mwa Waandishi wenyewe huku wakishuhudia.
Uandishi unavyojipotezea thamani mbele ya jamii, jamii itaamua kutumia utaaluma huo kama namna ya kuonyesha dhihaka au tusi, na hapo ndipo tutafika mahala mtu akiitwa “Mwandishi wa Habari” anajibu kwa ngumi, mawe au hata kota au kombeo.