Kati ya wanawake na wanaume nani viumbe hatari duniani?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
392
Reaction score
732
1790194951116.png

Wanaume wamekuwa wakiongoza dunia kwa miongo mingi.
Walianzisha mfumo dume
Mwanaume humpa mimba mwanamke na azaapo, yeye huwamilki wote wawili.

Wanaume wengi japo si wote, wajinga na wabinafsi hulaumu wanawake kwa kila kitu.

Wanaume ni wengi kwenye mambo ya kivita kama majeshi.
Kwa kuzingatia wingi wao katika madaraka, wanaume wengi wanaongoza kwa kutenda maovu.
Ukiondoa dikteta mmoja muuaji, wengi wa wauaji ni wanaume.
Wanaume huwatongoza wanawake ingawa hata siku hizi wanawake aka mishangazi inawatongoza vijana kama vile mke wa Emanuel Macron rais wa Ufaransa.
Mabaa mengi yamejaa wanaume.
Magereza mengi yamejaa wanaume.

Wanaume huwadandia hata wanaume wenzao japo siku hizi wanawake nao pia wanasagana.
Msururu ni mrefu.
Naleta hoja.
 
Hoja nzuri,

Tupime kwa namna hii; Wanaume wanajilinda dhidi ya vitu gani ambavyo wanavifanya wanawake, na wanawake wanajilinda dhidi ya vitu gani ambavyo wanavifanya wanaume. Tunaweza kupata msingi mzuri wa tunachokiita hatari.

Ubakaji, physical violence, emotional manipulation, other kinds of abuse, divorce (ongeza)

VS

Abuse, emotional manipulation, divorce, feminists, gold diggers (ongeza)

Pia wanawake wanajilinda dhidi ya nini kwa wanawake wenzao vs wanaume wanajilinda dhidi ya nini kwa wanaume wenzao.
 
Katika angle ya uwajibikaji mwanaume ana msalaba mzito hasa kwa current systems
 
Ndio maana kwa upande wa risk zilizopo kwa wanaume nimeweka gold diggers (kwa maana anayekuwa expected kuchunwa ni mwanaume)

Refer mada iliyopo mezani toa maoni yako. Nani ni hatari au uhatari hauna gender.
Acha kutumia abuse na once in a while scenarios kuweka kwenye mizani. Mwanamke kubakwa na kufanyiwa vitu vibaya ni kwa bahati, ila mwanaume katika mapambano yake, anajikuta kaingia not by any chance.

Unachokisema kwa mwanamke kuwa prone kwa watu wabaya ilikuwa enzi hizo kabla ya sheria na tawala kuwepo, leo mtu a kitaka kubakwa anawazia jela tu. Ila kwa mwanaume katika mapambano yake tu, kuna mishale ya gold digger, kuna kutapeliwa, kuvamiwa, huwezi kuta mwanamke mstari wa Mbele kwenye vita, huwezi kuta mwanamke kwenye life or death scenes. So hiyo hoja yako ya kusingizia abuse ni uongo mtupu. Infact wanaoabuse siku hizi ni wanawake
 
The one who holds keys to your stomach, sex urge and emotional support always has leverage in context to risk and vulnerabilities.
 
Usifanye cherry picking, nimeweka abuse pande zote.
 
Sija cherry pick! anaye kuwa abused sio anayepitia magumu. Kila mtu duniani lazima apitie some sort of abuse, ila sio kwamba ndiye mbaya, atateseka au kupata challenge zaidi ya mwanaume.

Msemo wa wanaume kuumbiwa mateso hauwezi kupingwa milele maana nature yenyewe unataka hivyo.

Mwanaume pasipo pambana anakuwa kituko, na a katika harakati za kupambana pia ana risk vingi.
 
View attachment 3676696
Wanaume wamekuwa wakiongoza dunia kwa miongo mingi.
Walianzisha mfumo dume
Mwanaume humpa mimba mwanamke na azaapo, yeye huwamilki wote wawili.

Wanaume wengi japo si wote, wajinga na wabinafsi hulaumu wanawake kwa kila kitu.

Wanaume ni wengi kwenye mambo ya kivita kama majeshi.
Kwa kuzingatia wingi wao katika madaraka, wanaume wengi wanaongoza kwa kutenda maovu.
Ukiondoa dikteta mmoja muuaji, wengi wa wauaji ni wanaume.
Wanaume huwatongoza wanawake ingawa hata siku hizi wanawake aka mishangazi inawatongoza vijana kama vile mke wa Emanuel Macron rais wa Ufaransa.
Mabaa mengi yamejaa wanaume.
Magereza mengi yamejaa wanaume.

Wanaume huwadandia hata wanaume wenzao japo siku hizi wanawake nao pia wanasagana.
Msururu ni mrefu.
Naleta hoja.
Kiumbe hatari! Zaidi kati ya mwanamke na mwanaume...NI HICHI👇
NYOKA!👇
Hata Biblia na quraan zinatambua👇
1000176721.jpg
 
The one who holds keys to your stomach, sex urge and emotional support always has leverage in context to risk and vulnerabilities.
Mkuu umeelezea vizuri sana, mtu anayejua kuna tu anatakiwa kula kwa ajili yake, anaye jua kuna mwanamke na watoto mgongoni mwake huyo ndo mwenye risk kubwa sana ya kuumiza.. Kimwili, kihisia mpaka kiakili.
 
Sija cherry pick! anaye kuwa abused sio anayepitia magumu. Kila mtu duniani lazima apitie some sort of abuse, ila sio kwamba ndiye mbaya, atateseka au kupata challenge zaidi ya mwanaume.

Msemo wa wanaume kuumbiwa mateso hauwezi kupingwa milele maana nature yenyewe unataka hivyo.

Mwanaume pasipo pambana anakuwa kituko, na a katika harakati za kupambana pia ana risk vingi.
Hoja nzuri, mimi niliweka standard measurement ili nijenge hoja yangu hapo, ya uhatari wa Me au KE katika dunia.

Niliextend mada.
 
Mkuu umeelezea vizuri sana, mtu anayejua kuna tu anatakiwa kula kwa ajili yake, anaye jua kuna mwanamke na watoto mgongoni mwake huyo ndo mwenye risk kubwa sana ya kuumiza.. Kimwili, kihisia mpaka kiakili.
Huwa mnayafanya haya kwaajili ya wanawake +watoto? Sio kwamba mtu yeyote mtu mzima ni lazima apambane?

Watu ambao hawana mke na watoto hawapambani?
 
Unaongelea uhatar kwa angle ipi?

Kusema mwanaume na mwanamke nani anaweza kuwa hatari zaidi
kwangu naona haina maana sana

Kwa maoni yangu binadamu yoyote anaweza kuwa hatari sana iwe ni ke au me kama tu ukigusa maslahi yake
ukavuka mipaka inayotishia mambo yake au akiwa na dhamira mbaya

So, yoyote anaweza kuwa hatari

Ubora utakuja kwenye namna atakavyopangilia mipango yake na kuifanikisha kama alivyotaka
Hapa hakuna cha gender

Kuna wanaume ni hatari sana, na kuna wanawake ni hatari mnoo

Mwisho wa siku, mtu hatari zaidi ni yule anayeweza kusuka mipango na kuitekeleza kwa usahihi na ufanisi wa hali ya juu sana bila kukosea target

Not gender ✋️
 
Back
Top Bottom