Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 881
- 774
Aliahidi jeshi likae tayari kwa ajili ya kuchinja vijana October 29, na kweli aka akachinja watoto vibaya sana
Pia alitekeleza mauaji aliyoyafanya tarehe 29. Alisema jeshi liwe tayari kwa kuua na hakutakuwa na nywinywinywi. Kweli alitekeleza masha Allah.
Pumbavu
Hebu mueleze mheshimiwa jaji kuwa rais aliahidi kuteka, kuuwa, kupoteza na kuiba chaguzi na sasa anaendelea kutekeleza ahadi zake