Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

“Ukiangalia taarifa ya watazamaji wa uchaguzi wa kitaifa na kimataifa tangu mwaka 1995 wote wamesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi siyo huru, na wamesema siyo huru kwa sababu, moja ni tume ya Rais...
18 Reactions
89 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha Thomas Ole Sabaya amewaonya wakazi wa Longido kutokuchagua wapinzani kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kwani serikali haitopeleka huduma...
4 Reactions
93 Replies
7K Views
Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote? Kwa upande wako...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Uongozi mpya wa Chadema DSM umeahidi Ushindi wa kishindo katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa Ahadi hiyo imetolewa na viongozi wa Ilala, Kinondoni na Ubungo kwamba hakuna Mtaa utabaki CCM Baada...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro, Salim Alaudin Hasham wakati akishiriki ibada ya Pasaka katika kanisa la Roma Kwiro wilayani Ulanga amesema viongozi wa dini wanatakiwa kudumisha amani na...
0 Reactions
2 Replies
582 Views
Ni katika mikakati ya Chama hicho kujiweka sawa kwa ajili ya chaguzi zijazo Taarifa kamili hii hapa
5 Reactions
7 Replies
756 Views
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema Wananchi wanawataka washiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa Wananchi wamesema watalinda kura ije mvua lije jua. === "Mimi nimepata wasaa wa...
11 Reactions
48 Replies
4K Views
Hakika nimeukumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2019 na 2020 jinsi Rais magyfuli, CCM tume ya uchaguzi na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyo uvuruga uchaguzi ule mpaka...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Kama swali linavyouliza, ni kitu gani kimefanywa au hakikufanywa na Serikali iiliyoko madarakani ambacho kinakushawishi kuichagua au kutokuichagua tena? Tukiwa tunakaribia uchaguzi wa serikali...
2 Reactions
19 Replies
882 Views
Hii ndio Taarifa Mpya iliyosambazwa kwa dharula na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka huko Mtwara . Endelea kubakia hapahapa JF kwa taarifa kamili ======== Maandamano kufanyika...
12 Reactions
79 Replies
6K Views
Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi...
10 Reactions
20 Replies
3K Views
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kujifungia kwa siku mbili kuanzia leo kuandaa Azimio la Mtwara la kushiriki au kutokushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Sikiliza hadi mwisho. Mwananchi ana akili kubwa kuliko wasomi wetu wengi waliopo madarakani Tanzania inaamka.
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, hiki ndio kipindi cha kufanya tafakari za sifa za mgombea anayefaa na asiyefaa kuchaguliwa kuwa kiongozi. Wakati wa kampeni ukianza...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama ametoa wito viongozi kuhakikisha wanawapatia wenyeviti wa Mashina wa Chama cha Mapinduzi taarifa muhimu za utekelezaji...
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jensita Mhagama (Mb) Peramiho, amewapongeza Wenyeviti wa Mashina na Kata kwa kazi nzuri wanayofanya ya kulinda na kukipigania...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
January 2024 TATHMINI YA ZIGO ZITO ALILOTWISHWA MUENEZI PAUL MAKONDA KURUDISHA IMANI KWA RAIA Ziara ndefu ya Paul Makonda ambaye ni katibu uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM imeibua na kuweka...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
https://www.youtube.com/watch?v=st-YFWzMvWQ RAIS SAMIA: UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA WA HAKI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema haki, demokrasia, sheria na...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
MBUNGE CHEREHANI ATOA MADAWATI 975 YA MIL 63.3: MAADHIMISHO MIAKA 47 YA CCM Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye thamani ya Shilingi...
0 Reactions
0 Replies
487 Views
Salaam ndugu zangu, Aisee kumekuwa na tabia ya viongozi wa Mitaa mbalimbali kugeuza shida za Wananchi kama miradi yao ya kujipatia pesa. Mpaka sasa kwa hapa Dar es Salaam nimeishi mitaa mitatu...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Back
Top Bottom