Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kweli anaizungumzia Nchi na kuijali kama familia yake , Afrika tuhubiri kwanza Uzalendo tuko nyuma sana . https://youtube.com/shorts/7bpZjoxy2Lg?is=zPTHUjErKG4H9MSd
0 Reactions
3 Replies
175 Views
Ni muda muafaka wa kumpongeza Rais Samia kwa kuwahamisha Wamasai na wakazi wengine ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kulingana na maamuzi kama hayo yaliyowahi kufanyika Canada na Marekani. Tarehe...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Geneva, Uswisi. Kiongozi wa asasi za kiraia nchini Tanzania, Martina Kabisama, ameangazia maendeleo yaliyofikiwa na Tanzania katika kuimarisha haki za binadamu, mshikamano wa kijamii na...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Wakuu , natanguliza salamu , Nimejikuta najiuliza sana kuhusiana na hili , tuanze na Nape , mchango wa mtu huyu kwenye uchaguzi ule mnaufahamu na kilichomtokea mnajua , Antony Diallo pamoja na...
11 Reactions
55 Replies
6K Views
Hakuna haja ya porojo, naingia moja kwa moja kwenye vielelezo: 1. Antony Diallo Huyu ni mtu aliyevunja hata taratibu za TCRA kwa kuhakikisha Star Tv Inaonyesha kampeni za ccm tu , lakini akawa...
102 Reactions
288 Replies
41K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika pamoja na Mwanasheria Mkuu wa chama, Rugemeleza Nshala wakiwa kwenye picha pamoja na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa United Nations, Parfait Onanga-Anyanga...
8 Reactions
35 Replies
860 Views
Baada ya karne nyingi kupita, 2025 Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuja na maono ya kumfikisha kijana kwenye ndoto yake anayoitamani. Ameunda Wizara mahususi kwa ajili ya kusikiliza...
0 Reactions
1 Replies
177 Views
Nchi YETU ya Tanzania imebarikiwa sana kuwa na MACHAWA ambao kwa namna Moja au nyingine huchangia sana tabaka tawala kututawala watakavyo wakiamini ya kuwa wao ni sehemu ya watawala hao. Hapa...
1 Reactions
4 Replies
232 Views
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, limelaani mashambulio ya Iran kwa nchi za kiarabu, na kuitaka kusimamisha mara moja. Karibia nchi zote wajumbe wa kudumu na wajumbe wa mzunguko wamelipitisha...
2 Reactions
9 Replies
268 Views
Katika thread zangu, kuna watu wanahisi kwamba labda nawachukia CCM, au labda nina ubaguzi dhidi ya Zanzibar. Majibu yote ni hapana. Kinachofanya nionekane kama niko upande wa Lisu ni suala kwamba...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
  • Redirect
Wengi wanasema amehadaa umma aonekane ana roho nzuri?
0 Reactions
– Replies
– Views
Inadaiwa hapo ni Kariakoo, Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari Amendika Twaha Mwaipaya, Hii ni Jana Kariakoo unaambiwa Polisi walikamata bodaboda wakapakia kwenye gari Raia...
6 Reactions
10 Replies
444 Views
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetenga mfuko wenye Sh50 bilioni kwa ajili ya kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu nchini, hatua inayolenga kukuza...
0 Reactions
15 Replies
369 Views
Sorry to say this! Lakini kina vitu vinatia kinyaa kuvisikiliza Inakera sana kuona mtu mzima kwa kutumia rasilimali za taifa na kodi za wananchi anawakusanya watu wazima na vyombo vya habari ili...
9 Reactions
33 Replies
1K Views
  • Redirect
Watch https://www.youtube.com/live/kKU_Zsb_8bw?si=-QaqDHU-S9d8JH2Z Video Courtesy: State House
0 Reactions
– Replies
– Views
Nchimbi, hizi ni kauli za kitoto, kitotot na kinafiki kabisa. Hakuna cha kuomba hapa, ni nyinyi mliojivika madaraka kuacha kutenda maovu! Mfano, kulikuwa na sababu gani polisi kuwapiga...
4 Reactions
6 Replies
146 Views
Ili ni pozi la kuteuliwa kuwa Balozi na mshauri wa Rais Samia, kwa masuala ya kidiplomasia? Au macho yamekuwaje? Mh Rais Wenje, msigwa na Mzee wa sukuma ndani wamemkosea Nini mbona hawapi hata...
1 Reactions
5 Replies
536 Views
Binafsi hii vita imenifanya nijisikitie mimi na Afrika kwa ujumla hasa nchi yangu ya Tanzania. Hii vita ni ya wababe wa sayansi na teknolojia. Yaani wanaopigana ni watu wenye akili nyingi za...
6 Reactions
15 Replies
461 Views
Kwenye gharama za Wharfage ndio kuna maumivu makubwa. Wharfage (tozo ya kutumia gati/bandari) imeongezeka karibia mara 5–7 zaidi ya ilivyokuwa mwanzo. Kwa mfano, kama gharama ilikuwa 1,000 kwa...
10 Reactions
45 Replies
1K Views
Back
Top Bottom