Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nilikuwa sijui bwana kumbe kila taarifa ya aliye tekwa bila kuonekana zipo na aliyetekwa akaokotwa marehemu pia kumbe zipo,kumbe watu wanazikusanya na kuzihifadhi kwa ustadi mkubwa sana eeh Mungu...
22 Reactions
51 Replies
2K Views
Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania Habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana. Ujue hatuna serikali halali ni wahuni.
11 Reactions
10 Replies
463 Views
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Bima ya Afya kwa Wote Januari hii, kwa kutoa kadi ya mfano kwa kaya maskini, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi yake ya siku 100 za...
0 Reactions
9 Replies
439 Views
https://x.com/ShayanX0/status/2007597953394061390 Ukiwa ndani ya nyumba yako tafuta vitambaa vitatu shona bendera ya Tanganyika.
0 Reactions
3 Replies
232 Views
Umoja wa Afrika (AU) umeeleza kuwa una “wasiwasi mkubwa” kufuatia mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela na hatua ya kukamatwa kwa Rais Nicolás Maduro na utawala wa Rais wa...
3 Reactions
36 Replies
555 Views
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, amesema maandamano yaliyotokea Oktoba 29 hayakuwa ya amani, akieleza kuwa baadhi ya Vijana walishiriki bila...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Kama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa. Hospitalini tu watu wanapasuliwa vichwa badala ya goti, kama angekua na akili na busara, basi angejua...
29 Reactions
72 Replies
1K Views
Je yakifanyika yale yale yaliofanya amani itoweke baada ya maridhiano, je maridhiano yatakuwa na maana? Maridhiano ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio sinema
4 Reactions
4 Replies
233 Views
Hii ni hatari sana. Mmefikia hatua mbaya sana. Yaani mnataka Afrika isaidiwe na mmarekani ili madikteta wote wag'olewe kwa nguvu kama ilivyotokea kwa Maduro? ... ...
2 Reactions
14 Replies
350 Views
Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais. Ina maana kijiti alichonacho leo...
49 Reactions
152 Replies
12K Views
Marekani ni nchi ya kidemokrasia yenye mifumo imara na imeundwa na watu wenye aslli tofauti tofauti hayo mafuta ambayo serikali ya marekani itachimba itayatumia kuinua uchumi wa nchi ya venezuela...
11 Reactions
17 Replies
369 Views
Je kuwaonea wivu Venezuela ni sawa! Utawala wao kama wetu tu? Mimi ni bora tungekuwa kama Venezuela na kujenga nchi upya ya kidemokrasia kuliko kutawaliwa na watu kama tulionao na udikiteta wa...
2 Reactions
3 Replies
155 Views
Madhara ya kutengeneza matatizo ya ndani hata kama una nia njema wananchi wako wataungana na wateso wako kukushughulikia....Wananchi wa Venezuela wameona bora washikane mkono wa Shetani mkuu US...
5 Reactions
11 Replies
320 Views
Polepole alitutukana sana Watanzania tuliokuwa tukikemea mauaji, utekaji na udikteta enzi za Magufuli. Polepole aliyekuwa mpiga domo wake maarufu wa kupangua ukweli leo yamemkuta. Kayakanyaga...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Watu wengi walitaraji mambo ya maana kutoka kwake, kaishia kuongea mambo ya kawaida, ya hovyohovyo, hakuwa na jipya. Sasa ajipange kwa mwangwi unaokuja
2 Reactions
45 Replies
2K Views
Ndio taarifa zilizotufikia punde tungali tunachakata 3 bora za Kura za maoni Usiondoke Jf
12 Reactions
74 Replies
4K Views
Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili...
2 Reactions
138 Replies
6K Views
Nguvu ya Taifa lolote ni Wananchi wake, viongozi waliotokana na ridhaa ya Wananchi wake, utawala unaojali zaidi hali ya maisha ya watu wake na kesho yao, utawala ukiwa haujatokana na ridhaa ya...
2 Reactions
3 Replies
179 Views
Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini...
104 Reactions
216 Replies
14K Views
Back
Top Bottom