Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 127,833
- 244,346
Wakuu , natanguliza salamu ,
Nimejikuta najiuliza sana kuhusiana na hili , tuanze na Nape , mchango wa mtu huyu kwenye uchaguzi ule mnaufahamu na kilichomtokea mnajua , Antony Diallo pamoja na kuvunja hata sheria ya vyombo vya habari , lakini sasa inatamkwa kwamba amefirisika
Taarifa zinaonyesha kwamba Lipumba hata kwenda kuoga tu ni lazima alindwe na polisi , Salum Jecha hata misikiti imemtenga , na kwa sasa ni kama anaabudu vifaru vinavyomlinda .
Yanayompata Lubuva nayo yanasononesha , taarifa zinadokeza kwamba mzee wa watu hata usingizi hapati , unalazimishwa kurudisha chenji huku bado tume inadaiwa !
Orodha ni ndefu sana , bali itoshe tu kusema wengi walioipigania wametoswa vibaya sana , huku waliojitenga nayo na wale waliokuwa wanaikosoa kufa na kupona WAMEULA , mfano halisi ni Kabudi , Mkumbo , Ndalichako na wengine kibao .
Je ni kweli kwamba ilikuwa ni kujitafutia laana kuipigania ccm , chama kilicholeta umasikini wa kutisha nchini Tanzania kwa karibu karne 1 ?