Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
8 Reactions
44 Replies
768 Views
Kwa nini iwe Nchimbi? Na isiwe CCM iliyojirekebisha? Kwamba Nchimbi akipewa urais 2030 hali ya mambo itakaa sawa? Ufisadi utaisha? Nepotism itaisha? Kwa nini Nchimbi ndio aonekane kuwa ndio...
5 Reactions
34 Replies
593 Views
  • Redirect
Chama cha Denokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres, kikieleza wasiwasi wake juu ya iwapo mwakilishi waliyekutana naye, Parfait...
1 Reactions
– Replies
– Views
Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (UNOAU), Bw. Parfait OnangaAnyanga, ambaye ni Mjumbe Maalum...
3 Reactions
38 Replies
960 Views
Geneva, Uswisi. Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Women in Social Entrepreneurship, Dkt. Astronaut Bagile, ametoa wito kwa Serikali, wadau wa maendeleo, asasi za kiraia na wananchi kwa ujumla...
1 Reactions
6 Replies
245 Views
Suala la kuifungia star tv na redio free africa ni kuuwa nchi kiuchumi na kiteknolojia inaonekana kuna muhuni amekataliwa kununua hiyo kampuni. Kwa hii serikali haramu sishangia kusikia star tv...
5 Reactions
14 Replies
539 Views
Asanteni sana wananchi wa Mkoa wa Rukwa. Kazi Inaendelea, Hodi Mkoa wa Katavi. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
0 Reactions
2 Replies
214 Views
Ni kilio cha wasanii kila kona.. Wamekumbuka shuka kumeshakucha.. ! Hakuna drama tena Hakuna new followers tens Hata wanaotoa nyimbo mpya hazi hit tena! Ni kilio na mahangaiko.. Gen Z...
22 Reactions
40 Replies
2K Views
Mutungi akiwa Msajili wa vyama vya sasa alinyamazia KILA uchafu ulipangwa mapema kwa lengo la kuvuruga Uchaguzi Huyu alijua njama zote n.a. uchafu wote akishirikiana n.a. Kailima n.a. Mwambegele...
3 Reactions
13 Replies
292 Views
DKT. MWIGULU ATEMBELEA OFISI ZA CCM MKOA WA KATAVI Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026...
0 Reactions
1 Replies
182 Views
SASA NI KATAVI, ZIARA YA KIKAZI MHE. DKT. MWIGULU NCHEMBA, WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 📆 IJUMAA – MACHI 13, 2026 🕰️ KUANZIA SAA 5 ASUBUHI Lengo la Ziara: 1. Kuweka Jiwe...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Mithali 29:2* “Watu wa haki wanapokuwa na mamlaka, watu hufurahi; Bali waovu wakiwatawala, watu huugua.” Uhafanuzi Neno hili linaonyesha kwamba uongozi wa haki huleta furaha na amani kwa watu...
5 Reactions
4 Replies
154 Views
Kwa maoni ya wabobevu katika siasa za Tanzania, wanaeleza bayana kwamba chama hicho kamwe hakiwezi kuamka wala kufurukuta tena kisiasa nchini Tanzania, na wala hakiaminiki tena mbele ya umma...
1 Reactions
22 Replies
463 Views
Mbunge Ghati Zephania Chomete ashiriki ziara ya kamati ya kudumu ya bunge ya viwanda, biashara, kilimo na mifugo kukagua mradi wa bilioni 10 Chuo cha elimu ya Biashara (CBE). 📆 12 Machi, 2026. 📍...
1 Reactions
0 Replies
151 Views
Mwananchi mmoja mkazi wa Mtaa wa Senti, uliopo katika Wilaya ya Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa, ametoa malalamiko yake kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, akieleza kuwa hadi sasa ahadi...
0 Reactions
9 Replies
358 Views
Kuna vitu vinafanana sana lakini viko mbali kabisa. Hekima imefanana sana busara lakini ni vitu viwili tofauti. Hekima ni karma ya Roho Mtakatifu, inatoka kwa Mungu. Busara ni akili ya kibinadamu...
7 Reactions
8 Replies
495 Views
Back
Top Bottom