In Polepole’s voice anasema wahuni sio watu😂🤣 halafu anawataja Rostam Aziz, Kikwete, Karamagi, na wengine wengi.
In Polepole’s voice anadai Kuna Mzee wa tax hapo posta Muda mwingi yeye anabeba...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb), akichangia Bungeni mjadala wa hotuba ya Rais Samia amesema; “Kazi ambazo amezifanya Rais Samia sio za kutumia tochi zinaoneka kwa macho”
Fikiria kuwa nchi zote, taasisi zote za kimataifa, wananchi walio wengi wa Tanzania, mpaka nchi marafiki wa kihistoria, wametamka kuwa yeye ni Rais haramu, kwa sababu hakuchaguliwa na wananchi...
Jamaa wameimgia Mitini kwa sababu WANAJUA Watanzania tunawasubiri kwa Hasira walete ushenzi wao wa kutupia jumba bovu Chadema ya Lissu.
Sasa wameona wataingia kwenye 18 za WATANZANIA.
NAO...
Tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Nchi yetu kwa Mwezi ule wa 3 miaka kadhaa iliyopita.
Bado tunaamini atatenda tena kwa njia zake, Maana Mungu haishiwi mipango.
Tuna amini kwamba...
Viongozi ni mali ya umma. Kama wanapenda kuonekana videoni, ni kwanini iwe nongwa kusema chochote kumuhusu, baada ya wewe kumuona kideoni?
Kiongozi ukishaonekana kwenye video ni sawa na msanii...
Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima.
Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari
Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa...
Habari WanaJF..
Huwa mara nyingi Watanzania hususani vijana wanapush kuwa minimum requirement ya kuwa Mbunge kielimu ambayo ni ujuzi wa kusoma na kuandika ibadilishwe na hupendekeza iwe uhitimu...
Hivi karibuni Februari 28, 2026 wakati wa Msiba wa Hayati Polycarp Kadinali Pengo kila mtu anakumbuka kilichotokea kuhusu suala ya kupigiwa au kutopigiwa makofi kwa wanasiasa. Baadhi ya Viongozi...
Katika video inayozunguka kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, inamuonyesha mwandishi wa habari nguli ambaye pia ni mwanasheria na mwanaJF ndugu Pascal Mayalla , akidai kuwa alilazimishwa kukiri...
Leo wanasherehekea Isreal na Marekani kuishambulia Iran.
Hawaoni watoto wadogo wanaouliwa
Hawaoni Isreal na marekani uhuru wa wananchi wao una binywa.
Leo ukipost picha ya jengo la Isreal...
Nakusalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania Waziri wetu wa AFYA kipenzi cha Watanzania katika mwezi huu mtukufu kabisa wa Ramadan.
Natumaini ujumbe wa Bw. Godfrey TUMAINI a.k.a. Dudubaya au...
Tunaposema uchafu si katika ngazi za mtu binafsi tu, hata kitaifa na kikanda tunagusa.
Utawala wowote wa hapa duniani ni mchafu. Hiyo USA ambayo wewe kapuku unaiota kila siku imejengwa kwa damu...
Licha ya vitisho na kamata kamata Bawacha wamejitokeza Musoma kuadhimisha siku ya mwanamke duniani.
=====
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limewatawanya kwa mabomu ya machozi wanawake wa Baraza la...
TAKUKURU GEITA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WABUNGE NA MADIWANI MAJIMBO YA CHATO KASKAZINI NA CHATO KUSINI
Ndugu Wanahabari,
Kati ya tarehe 28.11.2025 na tarehe 30.11.2025 TAKUKURU (M) Geita ilipokea...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba Kabudi, amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant.
Mazungumzo hayo yamefanyika jijini...
Tanzania na Uganda Zasisitiza Utekelezaji kwa Vitendo katika Kukuza Ushirikiano wa Uwili
Tanzania na Uganda zimethibitisha tena dhamira yao ya kuimarisha ushirikiano wa uwili, kuharakisha...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema watalaamu wamefanya uchambuzi wa kutosha na kujiridhisha kuwa Tanzania inaweza kufikia uchumi wa Dola za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.