Kuna utaratibu mpya umeandaliwa ndani ya ccm wa kuteua wagombea ubunge. Utaratibu huu utaanza kutumika ktk uchaguzi mkuu ujao 2020. Lengo ovu la utaratibu huu ni kuwabana wale wote wasioafiki fikra za mwenyekiti.
Kwa mujibu wa mtoa taarifa wangu toka Lumumba ni kwamba: wagombea watanunua na kujaza fomu ktk wilaya zao lkn hakuna kitakachofanyika ktk ngazi hiyo ya wilaya ama mkoa. Badala yake majina yote na fomu zao yatapelekwa Lumumba ili mwenyekiti akazipitie fomu na majina. Kisha mchujo utafanywa na mwenyekiti na kuyarejesha majina matatu ktk ngazi ya wilaya.
Kwenye ngazi ya wilaya ni wajumbe wa mkutano mkuu wa wilaya tu ndiyo watayapigia kura majina yale matatu yaliyoletwa na mwenyekiti. Kisha majina yale matatu na kura zao yatarudishwa tena kwa mwenyekiti. Mwenyekiti kwa msaada wa vyombo vyake atajiridhisha uhalali wa kura zilizopigwa kama vile rushwa na takrima. Kisha wataangalia utii wa wagombea kwenye kuzienzi na kudumisha fikra za mwenyekiti. Na ndipo litachaguliwa jina là mmojawapo ambaye ndiye ataipeperusha bandera ya ccm ktk jimbo husika.
Hii ndiyo kusema kwamba kwa utaratibu huu mpya demokrasia imebakwa kwa 100% ndani ya ccm. Wanachama wa ccm watabakia watazamaji tu ktk hatua ya uteuzi wa wagombea. Na ikitokea mgombea ana damu ama misimamo isiyoshabihiana na mwenyekiti basi asahau kuwa mbunge kupitia ccm.
Mnakumbuka kilio cha Shyrose Bhanji, ambapo mwenyekiti alisema hataki kulisikia jina la Shyrose Bahanji for no good reason. Shyrose alipaza sauti kulalamikia suala hili lkn hamkuumpa msaada, mkaona ni lake binafsi. Sasa ndiyo kaamua kuwa chinja chinja wa wale wote wasioshabihiana damu (people with bad blood with him) na wasiyo itikia NDIYOOOO kwa kile anachokiamini na kukifanya. Huko nyuma ccm ilikuwa na wenyewe, sasa hivi ccm ina mwenyewe.
Ccm kwisha ! Kwisha kabisaaa !