chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 15,227
- 25,985
Nashauri wana CCM tuachane ni hii mbinu ya Hamorapa,
Kiki zimestukiwa, mwanzoni tulipata sifa sana kufukuza fukuza, kufoka foka jukwaani, teua tengua
Kubwa kuliko yote tukamtimua mwenzetu Muhongo, cha ajabu wananchi wanakataa kuelewa hii kiki, wamekomaa kuhoji Muhongo kafanya nini? Wanasema eti kaonewa....
Tukawaambia je ile ripoti ya mchanga bado tu wanauliza asilimia 70 ya Dhahabu ambayo haijaundiwa tume na wanasema eti tume inashughulikia mamchanga tu sio dhahabu, inayoibiwa kila siku!
Ninavyoona chama hakijibu shida za wananchi.
Naona mwisho wa siasa za kiki!!