Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Huu mfuko ya faa uchunguzwe kwa makini, Unaibia watu kwa kushirikiana na waajiri.
Utakuta Mtu analipwa 500,000 lakini utakuta kaandikiwa 150,000 ili kumlinda Mwajiri asitoe hela nyingi, yeye ananufaika na Rushwa anachukua kwa mwajiri,
Kingine Waajiri hawapeleki Pesa kila mwezi, siku ya mwisho wa Ajira PPF wanamwajiza Mwajiriwa kufuatiria Pesa zake kwa Mwajiri, utazungushwa mpaka utakoma na kusamehe. waajiri wengine wanatoa lakini si ya Michango ya Wote bali atakupa mchango wako tu uliokuwa unachangia,
Serikali fuatilieni hili hasa Secta binafsi ndiko kuna huu Mchezo.