Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,292
- 21,414
Baada ya muwakilishi wetu kufukuzwa Bungeni na Mabwana Wale, Nimeona nivema Niandae Msafara wa waenda kwa Miguu na wenye Vyombo vya Moto utakaoanzia either Ubungo Mataa Au Bunju B pale darajani ikitegemea Shujaa wetu ataingia Dar Akitokea Upande gani.
Mimi kama Mwana-KAWE nimejihisi Ni kama vile tumefukuzwa wote, Ukifikiria Msingi wa kosa Alilolifanya Mbunge wetu pamoja na mwenzie (Bulaya) naona Kuna kila sababu ya kupinga uonevu uliofanywa dhidi yake na zaidi sisi wana-KAWE. basi naomba tujitokeze Kumpa Moyo Shujaa wetu.
Hivyo nitoe wito kwa wote ambao mmeguswa kwa tukio hili kwapamoja tuungane tumpokee MALKIA WA NGUVU, JASIRI, KICHWA, MCHACHAFYAGI, UNTOUCHOUBLE.
Nitawapa Updates jinsi ya kufanya.
Karibuni Sana Kawe Jimbo wanaloishi wabunge 75%.