BungelaKatiba2014tz
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 1,231
- 648
Mbaya sana ndugu yangu. Sasa ukute huyo mfanyakazi wake ametishiwa mpaka ameamua kuachia.Zitto mnafiki sana, uzalendo uzalendo kumbe mzulumaji Wa kutupwa
Alichokifanya Zitto ni kutumia vibaya madaraka yakeMbaya sana ndugu yangu. Sasa ukute huyo mfanyakazi wake ametishiwa mpaka ameamua kuachia.
Zitto ni shiiiida.Zitto mnafiki sana, uzalendo uzalendo kumbe mzulumaji Wa kutupwa
THE BEAUTIFUL ONE ARE NOT YET BORN..! "a man of the people''
Mbinafsi sana huyo LutigiteZitto ni shiiiida.
maelezo ya pande zote yanajieleza kwenye hati zs mdai na mdaiwaWoote mmeamua kumsema zitto kwa uba ya kwa Hoya za upande mmoja
Hapana wacha mimi nisubili ninarudi baada ya kupata maelezo ya zitto
Hayo yoyote bado ni maelezo ya mdai tumaelezo ya pande zote yanajieleza kwenye hati zs mdai na mdaiwa
Hujaona mlalamikiwa anavyojieleza kwa tume?Hayo yoyote bado ni maelezo ya mdai tu
Mlalamiliwa lazima nae atakua na maelezo yake
Sifa mojawapo ya mwanasiasa ni kuwa na roho mbayaAisee, kelele zooote za Zitto kumbe naye ananyanyasa hivi? Kweli wanasiasa siyo wa kuamini
Naweza kukubaliana na wewe ndugu.Sifa mojawapo ya mwanasiasa ni kuwa na roho mbaya
Zitto ni shiiiida.
Mkuu personal attack iko wapi hapo? Kuweka hizo document ya kudaiwa Zitto?Ww hacha personal attacks