CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA
TAMKO LA KULAANI KAULI AU MAPENDEKEZO YA MZEE ALI HASSAN MWINYI YA KUTAKA KUVUNJWA KWA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA...
Hivi chama tawala ili kiwe bora, inabidi kiwe na uhusiano mbaya na vyama vya upinzani au wanachama wake wawe na chuki na vyama vya upinzani, na ili chama cha upinzani kiwe bora, kinatakiwa...
Wakuu sasa hivi katika masuala ya siasa kitu kinachoimbwa zaidi ni demokrasia! demokrasia! demokrasi!. Hata hivyo inaonekana kwamba wengi miongoni mwetu bado hawajajua domokrasia ni dudu gani...
Katika hali ya kawaida tunategemea kuwa;
Mabadiliko ya kifikra yaanzie vyuo vikuu (wasomi?)
Chimbuko la mawazo mapya yaanzie vyuo vikuu (wasomi?)
Masuala yote yanayohitaji fikra pevu ili...
Hilo ni swali ninalo jiuliza kwani neno dharula hutumika kwa mazingira yanayohitaji haraka au kwa jambo ambalo ni lazima lifanyike haraka bila kusubiri kwa sababu ya unyeti wake na endapo...
Kutokana na mbinu mpya za CCM za kuwarubuni madiwani wa upinzani na viongozi waandamizi wao kujiunga na CCM tegemea yafuatayo 2020:-
1) Wagombea wengi wa upinzani kwenye nafasi za Udiwani na...
Acacia Mining (‘Acacia’) is Tanzania’s largest gold miner and one of the largest producers of gold in Africa. We have three producing mines, all located in north-west Tanzania, and a portfolio of...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA
TAMKO LA KULAANI KAULI AU MAPENDEKEZO YA MZEE ALI HASSAN MWINYI YA KUTAKA KUVUNJWA KWA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA...
Katika bajeti iliyopitishwa na bunge kwa mwaka wa fedha 2017/18 serikali ilipunguza kiasi cha tozo kinachotozwa na Halmashauri katika mazao na kuchukua vyanzo vingine (kodi ya mabango na nyumba)...
Wanachama,Wananchi wote wa Dodoma Mjini na Viunga vyake na wapenda Mabadiliko tunapenda kuwatangazia:-
Tarehe: 29/06/2017(leo)
Muda: Saa 3 Asubuhi
Mahali: Mahakama Kuu Dodoma
Ndio siku ya kesi...
Mnyika alisema serikali kama imeshindwa kuwadhibiti wauaji wa Kibiti basi hawataweza kuwadhibiti watanzania wakiamua kutumia silaha yao ya kura.
Mwigulu amesema ni vema akawa makini akiwa...
Yule aliyetoka kwa mwenzie ndiye huonekana sana katika makosa, kwa sababu makosa yake hayajifichi. Tumbo lake haliitwi kitambi, ila lawama. Mwenzake huitwa shujaa afanyapo dhambi lakini yeye...
Mwenyekiti wa Mkoa wa Pwani, Mrisho Swagara, amejitokeza na kusema mtu huyo aliyehamia CCM, tena mbele ya mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. John Magufuli Juni 20, mwaka huu, hawamfahamu na...
Najaribu ku-google wanasemaje wadau mbalimbali kuhusiana na mimba mashuleni. Binafsi niko pamoja na rais wangu na naungana na wote wenye mawazo kama ya rais akiwemo huyu aliyeandika haya...
Serikali imepata kigugumizi cha wapi ni katikati ya Tanzania na bado ipo katika mkakati wa kutafuta eneo hilo.
Awali Watanzania waliamini kuwa katikati ya nchi ni Dodoma lakini baadaye wanasiasa...
Hata Mimi pia nilikuwa ni mmoja wa Watu niliomsikiliza tena kwa ' umakini ' mkubwa mno Waziri Mkuu aliyejiuzuru na aliyekuwa Mgombea Urais wa UKAWA Mzee Edward Ngoyai Lowassa hivi majuzi alipokuwa...
UPDATES KUTOKA MAHAKAMA KUU LEO TAREHE 29/6/2017
Leo mbele ya Mheshimiwa Jaji Wilfred Dyansobera amefanya maamuzi ya kuahirisha Shauri la Msingi Miscellaneous Civil Cause No. 21/2017 kuhusu wizi...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba jana ‘alimkalia kooni’ Mbunge wa Arusha Mjini, Godbles Lema (Chadema) kwa kauli yake kwamba wabunge wanaogopa kujadili mauaji yanayoendelea Kibiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.