Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Sio siri kuwa Lipumba Alihongwa na Kusaidiwa Ili Kuivuruga CUF, na Kufanya Mambo ya Kihaini kama Kuvamia na Kuvunja milango ya Makao makuu CUF. Na mbaya zaidi Waliovaa Ninja ati kupiga Doria,"Bs"...
2 Reactions
Replies
Views
UTANGULIZI Mjadala huu usihusishwe na siasa za vyama kwa namna yoyote bali i-invoke deeper soul searching for matters we take for granted. Karibuni. Demokrasia kwa lugha rahisi ni kufanya...
0 Reactions
8 Replies
943 Views
  • Redirect
MBOWE: Kauli ya kuitaka Serikali iwatendee haki Mashekhe na baadhi ya viongozi wa Kiislam sio madai ya Mhe. Edward Lowassa ni madai ya Chama. "Justice Delayed is Justice Denied" BY freeman mbowe.
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa CHADEMA kaja na tamko lake ambalo inavyoonekana dhamira yake ni kumtetea Lowassa kutokana na uhalifu wa kutishia amani na uvumilivu wa kidini Tanzania. Sijamsikia Mbowe akiongelea...
1 Reactions
Replies
Views
Aliyekuwa mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, Januari Makamba, jana alimshukia mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa kwamba ni mroho wa...
2 Reactions
75 Replies
6K Views
WanaCCM wachache waliopo hapa mkoani Arusha wameamua kususa kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali ndani ya chama. Hadi sasa fomu hizo zinatembezwa kama mihogo kuwalazimisha watu wazichukue...
14 Reactions
96 Replies
6K Views
Naiona dhamira ya dhati kabisa kutoka kwa mhe raisi John Magufuli kupambana na kila uozo, Nikikumbuka kati ya Moja hotuba ya hayati baba wa Taifa Mwl Nyerere aliposisitza yakwamba yeye hatageuka...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
  • Redirect
Aliekuwa Mgombea wa Urais kupitia *UKAWA 2015* amezidi kuushangaza umma kutokana na *KIU* na *UCHU* wa madaraka alionao, Leo nimeona niseme jambo kwa niaba ya Familia yangu, na baadhi ya ndugu...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naipongeza serikali kwa miswada yote mitatu(UTATU MTAKATIFU) ya kulinda rasilimali za nchi yetu kwa mujibu wa kifungu cha 27 cha katiba.HATA HIVYO, katika mswada unaotaka mikataba yote inayohusu...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Rais mstaafu Mwinyi amesikika akisema ingekuwa utashi wake na si katiba basi rais aliyeko Rais angeendelea na urais milele! Mambo ya kushangaza sana haya, kwa mtu anayeacha u statesman na kuanza...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa wale tuliokuwa tunakumbuka enzi za augustino mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani kwa jinsi alivyokuwa akipambana na majambazi,wezi,magaidi n. K. Augustino lyatonga mrema ilifikia hatua...
0 Reactions
Replies
Views
Alianza Kwa kusema utawala au kuwa Rais wa nchi sio lelemama ni kazi ngumu ambayo utakosolewa na kila mwenye mlengo wa kushoto nawe. Pili: ingekuwa Sio katiba ingelifaa andelee kutawala miaka...
12 Reactions
228 Replies
20K Views
Tumeshuhudia wimbi la madiwa huko arumeru wakijiuzulu udiwani kwa sababu ya kumuunga mkono Magufuli kwenye harakati zake makinikia. Jambo hili la ku sacrifice udiwani kama njia bora kuuonyesha...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokabiliwa na wananchi wake kukosa uzalendo, kila mtu anapigania nafsi yake. Leo hii watu wanajifanya wanafurahia utendaji kazi wa JPM, wanaenda mbali wanasema...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Rais Dr John Magufuli toka umeingia madarakani 6th November 2015 ulipanga mikakati mizuri na kuanzia kazi kwa speed Kali sana. Na ulipotangaza Baraza la Waziri watanzania walikuwa na matumaini...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa amesema mauaji yanayoendelea huko Kibiti ni ya kusikitisha lakini Serikali inaendelea na kuwasaka na kuwatia nguvuni wote wale ambayo ni wauaji halisi. Waziri Mkuu...
1 Reactions
92 Replies
7K Views
Natambua kwamba Magufuli anaingizwa kwenye science kwasababu ya Somo la kemia alilosomea Kwa level ya aulimu. Sina shida ya yeye kusomea ualimu wa kemia na hesabu lakini pia kozi hii haifanya mtu...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Ikipitishwa itakuwa na maslahi mapana kwa taifa TMAA itakuwa replaced by Mining Commission .
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Redirect
Moja ya miswada itakayojadiliwa bungeni ni huu hapa ambao umelenga kulipa bunge nguvu ya kupitia mikataba yote ya maliasili itakayokuwa ikiingiwa na serikali na ile ambayo ilikwisha kuingiwa kabla...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwakweli ndugu yangu Mwigulu Nchemba ni kama mood yake haiko sawa kabisa, hii panic ni ya nini? Kwa mambo makubwa kama haya mtu anatamka lolote linalomtoka mdomoni, ndio kwamba mtu alitaka...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom