ACT-Wazalendo wamkana aliyehamia CCM

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,245
2,000
Mwenyekiti wa Mkoa wa Pwani, Mrisho Swagara, amejitokeza na kusema mtu huyo aliyehamia CCM, tena mbele ya mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. John Magufuli Juni 20, mwaka huu, hawamfahamu na hajawahi kuwa kiongozi wala mwanachama wa chama hicho.
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,786
2,000
Aaah yule Mlevi, hakuna haja ya kujibu usanii wa polepole, wananchi wote tuliona yule ni Mlevi aliyepewa hela kufanya siasa za kizamani lakini akawaaibisha ccm wenyewe
 
mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,242
2,000
Mbona hawajawakana Mghwira na Kitila?

Waache unafiki, tofauti ya CCM na ACT ni rangi za bendera tu...

ACT ilijengwa kwenye msingi wa uvuguvugu....
Wavune matunda sasa
 
MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,009
2,000
Mwenyekiti wa Mkoa wa Pwani, Mrisho Swagara, amejitokeza na kusema mtu huyo aliyehamia CCM, tena mbele ya mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. John Magufuli Juni 20, mwaka huu, hawamfahamu na hajawahi kuwa kiongozi wala mwanachama wa chama hicho.
Aliwaingiza kingi tu
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
5,644
2,000
Hapana. Kwa hili ACT wanatudanganya. Kulikuwa hakuna haja ya kutoa tamko lolote kumhusu, kwani kuna tatizo gani kama kweli ni mwanaACT lkn ameamua kuhamia ccm? Kukimbiwa na mwanchama mmoja ndiyo kifo cha ACT?

Hili povu litasababisha watu tuanze kuaminini kuwa ni kweli Habibu alibana ile hela iliyopatikana baada ya Yule mlevi kuuza nyumba yao ili kufanikisha kampeni ya ubunge ya dadake
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,920
2,000
Mwenyekiti wa Mkoa wa Pwani, Mrisho Swagara, amejitokeza na kusema mtu huyo aliyehamia CCM, tena mbele ya mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. John Magufuli Juni 20, mwaka huu, hawamfahamu na hajawahi kuwa kiongozi wala mwanachama wa chama hicho.
Inafahamika ACT ni AKIBA ya CHAMA TAWALA! Vinginevo mkataeni na yule mama Mwenyekiti wenu aliyehamishiwa mkoa wa kilimanjaro!
Pia mkataeni yule aliyehamishiwa wizara ya maji! Siku chache zijazo ZT atahamishiwa mahali Fulani! Wahenga walisema "akiba haiozi"
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
32,506
2,000
M/kiti wa chama tawala unajisifia kwa kupokea mwanachama mmoja tena mlevi hata kama ni kweli? hatari sana.
 
djzm70

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,075
2,000
Mwenyekiti wa Mkoa wa Pwani, Mrisho Swagara, amejitokeza na kusema mtu huyo aliyehamia CCM, tena mbele ya mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. John Magufuli Juni 20, mwaka huu, hawamfahamu na hajawahi kuwa kiongozi wala mwanachama wa chama hicho.
Mlevi asubuhi
 
djzm70

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,075
2,000
Yule jamaa alikuwa bwiiiiiiii sana, wala hajijui alikuwa chama gani wakati anamwaga maharufu ya gongo aliyojimwagia!
Wengine si walevi wanaact na wanatumia mic ya rais wanaacha makinikia yao hapo mtakuja kujua baadae. Huwezi ruhusu pretenders kutumia mic ya rais, usalama wawe makini. He was not a mlevi bali ni pretender.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom