Taarifa ya kesi ya wabunge Mnyika, Halima Mdee na Ester Bulaya

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,182
1,490
Wanachama,Wananchi wote wa Dodoma Mjini na Viunga vyake na wapenda Mabadiliko tunapenda kuwatangazia:-

Tarehe: 29/06/2017(leo)

Muda: Saa 3 Asubuhi

Mahali: Mahakama Kuu Dodoma

Ndio siku ya kesi ya waheshimiwa Wabunge wetu pendwa na wapambanaji wa haki za wananchi ambao ni:-

1. John Mnyika

2. Halima Mdee

3. Esther Bulaya

Ukandamizwaji wa Demokrasia sasa Basi tafadhali fika bila kukosa na ukipata ujumbe huu mwambie na mwenzako.

Imetolewa na
Mathias Raymond Nyakapala
Katibu wa Wilaya​
 
Hakuna case hapo ni upotevu wa muda ...kamwe hamtofanikiwa kuingia ndani ya bunge....mnapoteza muda...
Namkifanikiwa kurudi bungeni nipigwe ban ya mwezi mzima...
 
Judicially ya Kaimu Jaji Mkuu, sijui! Ila ni vizuri tukapata tafsiri ya notion ya separation of power vis counter check and balance! Je Bunge lipo huru kufanya chochote hata kukiuka kanuni zake lenyewe!? Na Je ni kweli mahakama ina mamlaka ya kutengua maamuzi ya vikao vya bunge ( sisemi sheria bali maamuzi). Tujikumbushe kesi ya wapigwe tu ya Pinda!
 
Hakuna case hapo ni upotevu wa muda ...kamwe hamtofanikiwa kuingia ndani ya bunge....mnapoteza muda...
Namkifanikiwa kurudi bungeni nipigwe ban ya mwezi mzima...
Hawajaenda Mahakamani kudai kurudishwa Bungeni bali kapata tafsiri ya sheria juu ya mwenendo mzima wa Bunge yaani madaraka na mipaka ya Spika na wajibu wa Wabunge wawapo Bungeni.
 
Wanachama,Wananchi wote wa Dodoma Mjini na Viunga vyake na wapenda Mabadiliko tunapenda kuwatangazia:-

Tarehe: 29/06/2017(leo)

Muda: Saa 3 Asubuhi

Mahali: Mahakama Kuu Dodoma

Ndio siku ya kesi ya waheshimiwa Wabunge wetu pendwa na wapambanaji wa haki za wananchi ambao ni:-

1. John Mnyika

2. Halima Mdee

3. Esther Bulaya

Ukandamizwaji wa Demokrasia sasa Basi tafadhali fika bila kukosa na ukipata ujumbe huu mwambie na mwenzako.

Imetolewa na
Mathias Raymond Nyakapala
Katibu wa Wilaya​
Lugha kama "wapambanaji" hayatumiki Mahakamani. What is the plaint? What is their prayer?
 
Back
Top Bottom