Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Hivi mule ndani Bungeni kuna utukufu gani unaosemwa au kutajwa tajwa na wabunge?. Mwenye majibu tafadhari anisaidie.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hata Mimi pia nilikuwa ni mmoja wa Watu niliomsikiliza tena kwa ' umakini ' mkubwa mno Waziri Mkuu aliyejiuzuru na aliyekuwa Mgombea Urais wa UKAWA Mzee Edward Ngoyai Lowassa hivi majuzi alipokuwa...
39 Reactions
101 Replies
8K Views
UPDATES KUTOKA MAHAKAMA KUU LEO TAREHE 29/6/2017 Leo mbele ya Mheshimiwa Jaji Wilfred Dyansobera amefanya maamuzi ya kuahirisha Shauri la Msingi Miscellaneous Civil Cause No. 21/2017 kuhusu wizi...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba jana ‘alimkalia kooni’ Mbunge wa Arusha Mjini, Godbles Lema (Chadema) kwa kauli yake kwamba wabunge wanaogopa kujadili mauaji yanayoendelea Kibiti...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Ni usumbufu haujapata kutokea, foleni utadhani watu wanadhani ndio mwisho wa dunia? Kwanini katika dunia hii ya teknolojia fomu za kulipa hiyo kodi ya majengo wasiiweke online? Kuna sababu gani...
3 Reactions
65 Replies
6K Views
Wakati mchakato wa uchaguzi wa mgombea ndani ya CCM tulishuhudia ndugu Lowasa akiahidi michango mbalimbali mmojawapo ni ule wa shilingi milioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa msikiti Arusha. Baada ya...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Wanabodi, Mimi ni mdau mkubwa wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam, ambapo kwa maonyesho ya mwaka huu, ufunguzi rasmi utafanyika kesho, tarehe 1/7/2017 na mgeni rasmi atakuwa...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Jamani wananchi wanaoishi kuanzia wilayani, mtaa wa magaka, mtaa wa kahama, welunya, ilalila, jijini Mwanza, Tunahitaji msaada wa maji, wamama wanaumia sana kutafuta maji usiku kucha wakiwa na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
MBOWE NA LOWASSA KAMA VIONGOZI WA SIASA WANAANZA KUJIINGIZA KWENYE UTETEZI WA WAHALIFU BASI NI VYEMA TUKAFAHAMU KUWA NCHI HII INAELEKEA PABAYA SANA. NAIOMBA SERIKALI IWASHUGHULIKIE WATU HAWA KWA...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
NCHI AMBAZO WATU WAKE WAMETAMANI KUONGOZWA NA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI. 1.Kenya mpaka kesho wanaonesha hali ya juu sana ya kumkubali MAGUFULI, Na wamekuwa wakituma ujumbe Mara kwa Mara kupitia...
1 Reactions
Replies
Views
Habari wakuu, CHADEMA wanafanya mkutano na waandishi wa habari leo tarehe 29/06/2017. Watazungumza na waandishi wa juu ya masuala kadhaa yanayoendelea nchini. Mkutano huo pia utahudhuriwa na...
8 Reactions
108 Replies
10K Views
Salam wana JAMVI, Hii ni tafakari tu, kwanini kusiwe na muda kikomo wa Wabunge wa viti maalumu unaolenga kuwawezesha wanawake katika maamuzi ya kisiasa-- yaani Women Political Empowerment ...
1 Reactions
2 Replies
701 Views
Ni kweli kosa la kiufundi linajirudia tena. Ni hivi karibuni tumeajulishwa jinsi nchi ilivyoingia kwenye matatizo makubwa ya kunyonywa na kuibiwa raslimali zake kwa kusaini mikataba mibovu, na...
0 Reactions
3 Replies
601 Views
Akiwa ziarani Kibiti kuwapa pole wananchi baada ya mauaji ya viongozi wawili katika mfululizo wa mauaji yanaolenga askari, viongozi na wananchi kwa muda mrefu katika maeneo ya Rufiji, Kibiti na...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wazazi na walezi nchini kuwa na muda wa kukaa na watoto wao na kuwaeleza madhara yanayotokana na matumizi ya dawa za kulevya kwani wao ndiyo nguvu kazi ya...
0 Reactions
4 Replies
655 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa anaridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa DAWASCO, katika kusimamia miradi mbalimbali ya maji. Ameyasema hayo wakati wa...
0 Reactions
3 Replies
873 Views
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Mabeyo anategemea kuzuru wilaya ya Kibiti kesho kujionea kinachoendelea huko. Je ni uamuzi sahihi kwa CDF kufika Kibiti? Source Azam News
3 Reactions
87 Replies
8K Views
  • Redirect
Kama police wameshindwa kijiimalishia ulinzi wao wenyewe huko KIBITI na kujikuta wakiuawa na bunduki mikononi mwao, licha ya kuzielekeza nguvu zao katika kupambana na WALEMAVU na Wafuasi Wa...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Freeman Mbowe, Mkuu wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Chadema, ametoa msimamo mkali wa chama chake na kambi rasmi ya upinzani bungeni kuhusu mauaji ya raia na viongozi...
1 Reactions
Replies
Views
kutokana na kujiuzulu kwa madiwani 5 wa CHADEMA mkoani ARUSHA kwa kile kinachoelezwa ni kumuunga mkono bwana mkubwa,ni wazi tunakwenda kurudia uchaguzi kujaza nafasi hizo za madiwani zilizowazi...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom