Hivi mule ndani Bungeni kuna utukufu gani unaosemwa au kutajwa tajwa na wabunge?.
Mwenye majibu tafadhari anisaidie.
Kazi ipoMkuu wanasema hivyo kwa mazoea tu. Ni kama vile unavyoona wanasali asubuhi lakini baada ya hapo wanafungulia matusi, vijembe na kejeli huku wakipitisha mikataba mibovu, lakini kwenye sala wanamuomba Mungu awaongoze kufanya maamuzi yenye maslahi kwa taifa.
nimetoka kapa sijaelewa chochotewapo Giningi mkuu lazima wawe watiifu kwa Bi Kilembwe.
pole mkuunimetoka kapa sijaelewa chochote
Ahsante Mkuu nisaidie basi kudadavuapole mkuu
Bunge linamuabudu mungu mtu.Ahsante Mkuu nisaidie basi kudadavua
Hivi mule ndani Bungeni kuna utukufu gani unaosemwa au kutajwa tajwa na wabunge?.
Mwenye majibu tafadhari anisaidie.
Nashukuru kakaBunge linamuabudu mungu mtu.
Kiuhalisia mtu anayetakiwa kutoa HAKI anatakiwa awe AMATUKUKA (MTUKUFU)lakini hapa kwetu watoa haki wapo kwa maslahi ya vyama na matumbo yao jambo linalowakosesha UtukufuBado,hakuna aliyejibu kwanini" Bunge tukufu" na tukienda mbali zaidi kwenye mahakama zetu kuna lugha "mtukufu hakimu",pia "mtukufu rais".tafadhali anayejua atujuze