Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesisitiza kuendelea kushiriki katika shughuli za kijamii sambamba na jukumu lake la msingi la...
Wakuu hii ya waziri kumpa mama mkwe wake tuzo kwa uprofesa mbona imekaa kizamani sana.
Kwani hii familia haiwezi kula kodi zetu tu kimya kimya mpaka iwe inatupigia kelele, kwahiyo sahivi ataitwa...
Hii nchi ina viongozi wanastahili kunyongwa kabisa mchana kweupe watanzania hii nchi sio maskini ila tuna watu ni wabaya sana ile mikataba iliyopitisha kwa hati ya dharula Bungeni tena ulikua...
Ripoti ya CAG, ikiunganishwa na ripoti ya Ile tume ya Kodi itakuonesha kwa Nini Mimi natamani kujifia kila ninapo LIPA Kodi
Nauliza katika Ili la uwanja wa mpira Makonda na yule aliyekuwa mbunge...
Heshima kwenu wakuu,
Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dr Shein, amesema hatishwi na vitisho vya TANESCO vya kuikatia umeme Zanzibar kwa sababu ya deni la Umeme kwani deni sio la leo, deni lina zaidi...
Kwa sasa ni kama marhamu. Huwezi msikia akikosoa kitu. Huwezi. Awamu hii wamejua kula na kipofu. Ikija tokea awamu nyingine ndo zitto kabwela ataibuka.
Nawatakia mema na kila la kheri watia nia wengine wote wa CCM maeneo mbalimbali nchini, wa ubunge pamoja na wale wa udiwani.
Tuheshimiane na daima kua wastaarabu miongoni mwa watia nia wengine...
Huko katavi kuna taarifa ya Walimu 17 wanasota mahabusu kwa agizo la Waziri Mkuu kwa kosa la kununua mabati feki ya ujenzi wa shule
Mzabuni aiyewauzia mabati hayo feki yupo mtaani anaendelea na...
Profesa Lipumba jana Machi 29, 2026 akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya ofisi ya CUF, jijini Dar es Salaam, alisema kuwa kwa wastani ilihitajika Dakika nne - tano kwa mtu mmoja kumaliza...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Crispin Chalamila akiwasilisha Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya...
Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa...
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akitoa sifa za Dkt. Fatma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni...
Najua jaji Othman Chande yuko compromised toka siku anachaguliwa, bila shaka pia ni mtu wa mfumo hakuna lolote jipya tunaweza tegemea.
Japo hii tume haina uhalali wowote lakini inaweza kurejesha...
Mama Samia anaona kama anapotezewa muda tu kwasababu anachofikiria ni makusanyo ya pesa ili wapige deal na marafiki na ndugu zake!
Mfano deal ya Kia na miradi mingi. Hakuna hata nia ya kupambana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.