Ama kwa hakika hii Nchi raia wake wanadharauliwa kuliko hata kinyesi cha binadamu
Pamoja na kashfa zenye ushahidi mwanana uliotukuka lakini Kizigha bado anateuliwa, Ni kama vile CCM haina watu...
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) leo itaanza mchakato wa kupokea maoni ya wadau kuhusu uwezekano wa kufanya mapitio ya nauli za usafiri wa umma, baada ya kupanda kwa bei ya mafuta na...
Ni sehemu ya Ile bil 2 iliyosambazwa n.a. wizara kwa watoa maudhui mtandaoni
Lengo ni kupumbuza Wajinga n.a. kuwasahaulisha uchafu unaoendelea TANZANIA
Yaleyale ya Kikombe cha Babu
Wala...
Akizungumza na Vyombo vy habari leo Aprili 6, 2026 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokraisa na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema kuna ma- caretel (Kundi la wafanyabiashara) ambao...
Ile so called tume eti umeongezwa! Muda ili kuongeza nini kwenye maandishi ya kubumba? ? Kuchakachua? Wanamchakachulia nani ? Nani ambaye hajui kilichotokea?
Alisema the brutality used was...
Ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2025-2030 inatekelezwa kwa kasi na viwango vinavyokubalika na kila mTanzania, na kinachowakosesha kabisa wapinzani ni hoja.
Miradi ya maji, umeme, afya, elimu...
Guys guys
Aliyesema mwogope Mungu na Technology alikuwa ana maana kubwa sana.
Vijana wa CCM wakipata vyeo huwa wanajisahau sana.
Msikilizeni huyu naye.
Una heshima kubwa as one of the respected Chief Justice.
Sasa kwa nini unataka kuharibu CV yako kwa upuuzi wa mtu mwenye uchu wa madaraka..
Jiangalie umebakiza miaka mingapi duniani?
Achana na...
Kama mada inavyojieleza hapo juu
Mashehe wanasisitiza sana amani bila kujali kama kuna haki au hapana wakidai kwamba bila amani hakuna haki
Mapadre maaskofu na wachungaji wanasisitiza sana haki...
Je, Samia ana tofauti yoyote na Paul Biya aliyemteuwa mwanae kuwa makamu wa rais?
Au Museveni mtoto wake mkuu wa majeshi mama waziri wa Elimu. Na hawa ni madikteta je Samia ana tofauti na hawa...
Hebu tutafakari wote Jambo hili
Uhalali wa jambo hili Mbele ya mamilioni ya Watu wakiwemo wasomi wa juu ni upi?
Je Waafrica wamemkosea nini Mungu mpaka ifikie awadhalilishe kiasi hiki?
Hamjambo Wote
1. Muziki duniani kote haujawahi kuheshimiwa. Wanamuziki kote Duniani hawajawahi kuheshimiwa.
2. Hasa Muziki na wanamuziki wa kisasa ambao asilimia kubwa ni Wahuni wahuni, na...
Katika Mkutano wako uliwahi kuhoji kwanini takwimu zinasema utoshelevu wa dawa ni 95% kwenye vituo huku asilimia 90 ya wananchi wanalalamika hakuna dawa.
Mkutano aliofanya Mchengerwa ulikuwa ni...
Hamjambo wote!
1. Nimemsikia RC Mtaka akiongea Siku ya wanawake. Akijaribu kuikosoa kauli nyuma ya Kila mafanikio ya Mwanaume kuna mwanamke.
2. Anthony Mtaka kauli hiyo aliikosoa vikali kauli...
Aliyekuwa Rais wa Awamu ya 5 Hayati John Pombe Magufuli alizungumzia sakata la unform za jeshi la polisi ambapo kuna mtu amelipwa mabilioni ya pesa kwaajili ya uniform za polisi na hakuna hata...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo ambayo ni Sikukuu ya Pasaka.
Pasaka ni sikukuu ya ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi zozote ikiwemo dhambi ya dhulma ya...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
Karibuni.
Pasco