Usanii hauishi, eti wameongezewa muda

Usanii hauishi, eti wameongezewa muda

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,894
Reaction score
101,306
Ile so called tume eti umeongezwa! Muda ili kuongeza nini kwenye maandishi ya kubumba? ? Kuchakachua? Wanamchakachulia nani ? Nani ambaye hajui kilichotokea?

Alisema the brutality used was proportional to what was on the ground!
 
Hii Janja Janja Primary School Yaani Wanarukaruka Kama Maharage
Wanaupaka rangi UPEPO na hizo siku unajua yanatumika Mabillion ya KODI zetu wanazitafuna tu na hakuna cha maana watakuja kusema hawa wahuni Chande km anapita hapa mwambieni hizo hela wanazokula wasipokuja na majibu ya kueleweka watazitapika yeye na wenzie wakina Tax
 
Nitamwambia Chande Wazi Pia Jocobs Mwambegele
 
Nitamwambia Chande Wazi Pia Jocobs Mwambegele
Huyo Mwambegele ndio hafai kabisa hata kwa kurumagia amewatia aibu majaji wote nchini sasa Chande akikosea tu kaifuta legacy yake yote aliyoiweka kwa miaka mingi km Jaji akikosea tu kanasa Jaji pekee wa kuheshimika atabaki kua CJ Nyalali hawa wengine magumashi mengi sana
 
Hizo sababu za kuongeza muda ni reasonable kabisa unless unataka walipue kazi uje kuwananga.
 
Ile so called tume eti umeongezwa! Muda ili kuongeza nini kwenye maandishi ya kubumba? ? Kuchakachua? Wanamchakachulia nani ? Nani ambaye hajui kilichotokea?

Alisema the brutality used was proportional to what was on the ground!
Wamechanganyikiwa
 
Report imejaa UJINGA mwingi kiasi kwamba hata mtoto wa darasa la pili angewatoa Akili ndiyo maana wanaenda kuedit angalau iwe na balance..
CHADEMA na LISSU ndiyo agenda kuu ya report ya mchongo kila zigo limeangushwa Kwa CHADEMA....hawa majaji ni zaidi ya wafumwa
 
Umeisoma?
 
Mdau kutoka X:
Unajua nchi hii inaendeshwa kam futuhi yaani ww ndo mtuhumiwa namba moja halafu wew huyo huyo unaamua nani na lini akuchunguze na ww ndo utakuwa mtu wa kwanza kupokea hiyo report unaweza jiuliza hivi kuna wasomi kwel hii nchi mbona km tuko miaka ya 1880 huko aise inatia hasira
 
Waache Kupoteza Muda Na Rasimali Kwa Huo Upumbavu Wao....
Teknolojia Imekwishamaliza Kila Kitu Hatuhitaji Maneno Na Maandishi..........
 
Huyo Mwambegele ndio hafai kabisa hata kwa kurumagia amewatia aibu majaji wote nchini sasa Chande akikosea tu kaifuta legacy yake yote aliyoiweka kwa miaka mingi km Jaji akikosea tu kanasa Jaji pekee wa kuheshimika atabaki kua CJ Nyalali hawa wengine magumashi mengi sana
Jaji Mkuu Samatta amebaki na integrity na heshima yake. Na wako waliokuwa majaji wazuri sana waliosimamia haki bila kuogopa ingawa sio wengi. Kuna mhaya ambae nimemsahau jina. Kuna aliyekuwa anapinga hukumu ya kifo. Sio Nyalali peke yake.

Amandla...
 
Ripoti gani hiyo isiyo na mizania! Kama kweli alitaka tutoke hapa tulipo si angeruhusu uchunguzi huru wa Kimataifa, au ule wa Kimahakama!
 
Unaongezwa muda hlf keshokutwa unakuta et wamekutana na Sabaya!!😁
 
Tume inayochunguza serikali, iliyoundwa NA serikali, ikifadhiliwa NA serikali.

hii ni mdhibiti anayejidhibiti mwenyewe.
tutegemee kupata ripoti ambayo ipo sugar-coated
 
Hizo sababu za kuongeza muda ni reasonable kabisa unless unataka walipue kazi uje kuwananga.
Ukweli huwezi kutumia muda mrefu hivyo, labda kama aliyeunda hiyo tume ukweli uliopo hauendani na utashi wake. Larry Madowo wa CNN yuko nje ya nchi alitumia wiki 3 kuweka matukio ya ukweli hadharanai. Hakupata shida maana aliweka matukio ya kweli. Ni ukweli gani unaochanganya hivyo hadi kuongeza muda kila mara?

Hata hivyo Samia hana rekodi nzuri ya tume. Rejea ripoti ya tume ya mauaji ya Ali Kibao iko kabatini hadi leo. Hivyo inawezekana hata hii zikiisha hizo siku 21 alizoongeza, asiitoe hiyo ripoti kama haijakaa atakavyo yeye. Hii ndio sababu ya watu wengi kutokuwa na imani na hiyo tume, kwani mtumuhumiwa namba moja ndio kaiunda.
 
Back
Top Bottom