Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa .
"Ni vema tukafanya haraka...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa wahusika walijua mapema kuwa watatenda makosa, kwa lengo la baadaye...
1. Yaliyotokea Tanzania ni kwa sababu Samia anadhani watanzania ni objects zake, sisi kwake ni kama kuku, ng'ombe , mbuzi , nyumba, sahani, kikombe, kikiko, çhekecheo and she can treat them at...
Wakuu,
Naomba kufahamu kuhusu suala la utajiri wa Kanisa Katoliki. Je, kweli utajiri wake unatokana na mgao kutoka serikalini?
Baadhi ya Mashekhe wamekuwa wakidai kuwa Kanisa Katoliki hupokea...
Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya Tanzania ni kutokuandamana sababu kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi...
Friends and Our Enemies,
Katika hotuba yake mashuhuri ya mwaka 1985 ambayo hivi sasa imeachwa kuwekwa katika mfululizo wa hotuba za Mwalim Nyerere amekuwa anakiri kwa kinywa chake namna gani...
Tumalizie kuwaumbua hawa Wakatoliki wa kuchaji. Huyu ni wa mwisho, then tuendelee na mambo mengine ya msingi. Dunia imeshajua hawa ni Wajinga, na Ulimwengu umetambua aliyewatuma ni Mpumbavu.
Huyu...
Kwako CDF MSTAAFU - MABEYO, tunakuomba uingilie kati suala hili naona mrithi wako hili kwake halimhusu, hii tabia ya kuibananga na kuibagaza Imani yetu ya dini yetu ya Roman Catholic ifike mahala...
JajiJoseph Sinde Warioba, waziri mkuu mstaafu amesema maisha yake yako hatarini. Anatishiwa kuuawa, lakini hana cha kuogopa.
"Kuna watu wengi sana wanaoniletea ujumbe, kwamba mzee angalia...
https://www.youtube.com/watch?v=JhNOoI2tIKw
Jikumbushi nywinywi nywinywinywi.
Yako wapi. Kumbe rais alituongopea?
Je, hapa si muongo kama waongo wengine?
Je, haya maridhiano siyo uongo?
Je...
Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa...
Kisa kwa ufupi: Viktor Frankenstein, mwanasayansi kijana hodari, anashikwa na jazba kuu ya kutaka kugundua siri ya uhai. Hatimaye anafanikiwa kuunda linunda hai kutokana na viungo vya binadamu...
Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi, Jeshi la wananchi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu Ndogo ya Tunguu - Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Wanaukumbi.
Mtu anaewaminisha mkaandamane siku ya X-Mass anawaita anadhihaki Jeshi
Mnadhani Jeshi halioni hizo post za wanaharakati
Nendeni mkaliwe vichwa muje muitwe mashujaa huku maiti zenu...
China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia.
Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ndio picha Bora ya kufungulia Mwaka,picha iliyoteka hisia za watu ,picha iliyoleta tabasamu kwa watu,picha iliyoleta furaha mitaani kote. Picha iliyoamsha matumaini ya...
Mkoa wa Kagera hata mkuu wa MKOA au wilaya hasiye muaya ukipata Cha moto sembuse ubunge?
Km uamini nisemayo karibu kuchukua fomu ukagombee, utapigwa mande mpk maji uyaite mma.
Nauliza Nini...
Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.