Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia katengua uteuzi wa Ummy Mwalimu kama Waziri wa Afya. Ni mmoja wa mawaziri ambao sikutarajia angetumbuliwa na Samia! Imekuwaje akanyang'anywa tonge mdomoni?
9 Reactions
223 Replies
17K Views
Rais Samia ametoa angalizo kwamba unapokuwa mtu wa Imani uwe wa Imani kweli lakini siyo juu unajifanya wa Imani Kumbe Chini ya meza una mambo yako mengine Source: ITV Johnthebaptist nimeipenda...
1 Reactions
11 Replies
793 Views
https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0 General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali...
63 Reactions
621 Replies
24K Views
Zile Kura za maruhani kule Zanzibar kuna jimbo Muwakilishi wa CCM alipata Kura 2 na Kura 4762 zikaharibika (maruhani) lakini alitangazwa mshindi na akatimba Baraza la wawakilishi kwa miaka yote 5...
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya...
14 Reactions
111 Replies
7K Views
Naona bado mnaendelea kufuga uhuni na wahuni Tanzania bado hamjajifunza ile tarehe 29. Njia pekee ya kuiponya nchi yetu ni...
14 Reactions
70 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema ameiona barua ya Balozi wa Cuba, Humphrey Polepole mtandaoni na kwamba yeye mwenyewe ndio mwenye...
12 Reactions
77 Replies
6K Views
Wanakumbi. Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu...
10 Reactions
108 Replies
5K Views
Jamani leteni hiyo michango ili tuwafundishe nini maana ya amani Tanzania! :cool: :cool: ========== Mwanaharakati Ahmed Kombo aomba mchango kwa watanzania kwaajili yakuzunguka nchi nzima kuongea...
2 Reactions
5 Replies
210 Views
Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, urais hauwezi kupatikana kwa namna yako ya kuongea ili...
15 Reactions
35 Replies
601 Views
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa...
20 Reactions
152 Replies
9K Views
Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao...
28 Reactions
160 Replies
9K Views
Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika. Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Wadau Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari...
35 Reactions
148 Replies
6K Views
Kwa nini? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu. Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi. NYERERE - Siasa...
6 Reactions
65 Replies
3K Views
"KUNA watu wanatengeneza makusudi mgawanyiko kwa maslahi binafsi, tusikubali kugawanyika kwa kuwa sisi sote ni watoto wa Adam na Hawa., tusigawanywe na hawa wataka madaraka na wanaotaka matajiri...
7 Reactions
3 Replies
296 Views
Watumishi wengi walioelimika sana wamegeuza elimu kuwa kama taji la kunyanyasa wengine, kuwaona wengine si chochote, kuwapelekesha wanavyotaka, n.k, Wanaona elimu kama status symbol ya kunyanyasa...
0 Reactions
1 Replies
73 Views
Tunaishi katika nyakati ambazo ni za ajabu sana, kijana asiyeoa anahangaika hata kupata msichana wa kumpenda, lakini mwanaume aliyeoa ana mahusiano ya siri ( michepuko) zaidi ya mitano. Imagine...
4 Reactions
7 Replies
279 Views
Wakuu, Wakatoliki feki wazidi kuumbuka. Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya. Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu...
25 Reactions
128 Replies
4K Views
Maana kwasasa, Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa...
1 Reactions
11 Replies
268 Views
Back
Top Bottom