Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bado mtatudanganya Muungano Una faida? Bado mtatudanganya faida za Muungano ni pamoja na usawa wa kiuchumi? Tanganyika mafuta 4000 Kwa lita Zanzibar 2900? Kwamba kodi za mafuta Tanganyika...
11 Reactions
33 Replies
965 Views
Ulituambia ndani ya siku 100 utaanzisha mchakato wa katiba mpya, leo ni siku zaidi ya 150 Tuliona ukazuga na Warioba na kupiga picha ili akusafishe, Nakuonya kwa Mara ya mwisho ili la katiba...
17 Reactions
47 Replies
788 Views
Ukiambiwa dunia duara, au ukaambiwa malipo ni hapahapa duniani ukae uelewe na usibishe. Wakati Tundu Lisu anasaliti harakati za rais wa awamu ya tano hayati Magufuli, Chadema walikenua meno na...
13 Reactions
61 Replies
3K Views
Habari wana jamvi. Mwaka jana baada ya timu ya Arsenal kufanya vibaya kwenye ligu kuu ,mashabiki wake kote duniani walipaza na kumzomea kocha mkuu Wenger aondoke ili kupisha mabadiliko ya...
2 Reactions
132 Replies
13K Views
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Aprili 6, 2026 anakagua madhara yaliyotokana na kuungua kwa soko la wafanyabiashara wadogo la Simu 2000, lililopo Ubungo jijini Dar es Salaam. Ajali hiyo ya...
2 Reactions
10 Replies
234 Views
Takwimu ziko wazi kipindi Nyerere anapigania uhuru asilimia kubwa ya watanzania walikuwa wajinga Kuwatetea kundi lenye watu wajinga wanaijiita machawa au mazuzu ni gharama kubwa sana. Nyerere...
9 Reactions
84 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba leo Aprili 06, 2026 wakati akiongea na wafanyabiashara waliounguliwa na vibanda vyao eneo la Mawasiliano, Ubungo ametoa wito kwa wananchi kulinda amani ya nchi na...
1 Reactions
1 Replies
171 Views
Taarifa ya Azam inaeleza kwamba soko la Mbuyuni huko Moshi linateketea usiku huu. Moto umeanza usiku wa saa 7 tarehe 06/02/2024 Hivi kwanini masoko hayaungui mchana? ============ Kufuatia...
7 Reactions
57 Replies
5K Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa viongozi kubuni vyanzo vipya vya mapato na kuacha sheria za kikoloni za kukandamiza watu ili kupata mapato. Ameyasema hayo leo Aprili 6, 2026...
1 Reactions
3 Replies
224 Views
Wanataka Marekani aingilie Tanzani. Wanasahau wakiingilia kama Iran majengo ya chadema na afisi za wanaharakati nyingi zitapigwa drone
4 Reactions
39 Replies
471 Views
Kuteuliwa kwa huyu mama mwenye kila kashfa ambae alitakiwa kua jela bado mna mashaka kwamba Magufuli hakuzungukwa na chatu? Kuachiliwa kwa Seth Singa Singa wa IPTL bado watanzania mko usingizini...
12 Reactions
36 Replies
826 Views
CCM na huyo Samia wao, wametenga hela nyingi kwa Content Creators ili wawe wanahoji mambo ya kijinga ili kuwasahaulisha watu Ugumu wa maisha, Ripoti ya CAG na Mauaji waliyofanya tarehe 29 Oktoba...
2 Reactions
8 Replies
302 Views
Pamoja na kusifiwa sana, rais Mama kazidi. Jana, kwa kutumia viti kumi vya rais vya ubwete, alimteua mtu wake aka black box ya mama Angela Kizigha kuwa mbunge. SIyo huyu ambaye marehemu Magufuli...
3 Reactions
12 Replies
398 Views
Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi? Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya...
25 Reactions
219 Replies
11K Views
Wakuu, Ibara ya 15 kwenye katiba ya Tanzaia inampa mamlaka Rais kutoa msamaha kwenye kosa LOLOTE ambalo atakutwa na hatia nalo. Anaweza kumwachia huru mtu kwa muda maalumu au moja kwa moja mtu...
7 Reactions
14 Replies
346 Views
Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta...
2 Reactions
44 Replies
1K Views
  • Redirect
WAZIRI MKUU AKAGUA MADHARA YA MOTO SOKO LA SIMU 2000, AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUREJESHA BIASHARA ▪️Asema Serikali itatoa kauli baada ya uchunguzi ▪️Aagiza vibanda vipya vigawiwe kwa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Askofu Musomba, akiwa kwenye homilia amehoji mambo mengi muhimu: 1. Amesema, zamani mtu akifariki watu walikuwa wanahuzunika na kulia sana, imekuwaje sasa, mtu anakufa, watu wanashangilia...
7 Reactions
13 Replies
442 Views
Kuna kilio kikubwa cha nishati na fukuto la nishati lilikuwa na viashiria vyote vya kuwa hali itakuwa tete sana pamoja na viashiria vyote hivyo kutokana na kwamba serikali iliyopo madarakani...
8 Reactions
24 Replies
343 Views
Wakuu, Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu! Baba ananyeyekea...
12 Reactions
49 Replies
1K Views
Back
Top Bottom