Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,965
Kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi visiwani Zanzibar, Balozi Ali Karume amesema amesema chaguzi zinazofanyika visiwani humo haziendani na misingi ya chaguzi zinazotegemewa kufanyika na kuonya kutokea vurugu kama hilo halitorekebishwa. Karume alikuwa akitoa rai yake katika kipindi hiki ambacho visiwa hivyo vikiwa vinaadhimisha Siku ya Mapinduzi, ambayo kwa kawaida inaadhimishwa kila ifikapo Januari 12 ya kila mwaka.
SOURCE: DW
SOURCE: DW