Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,681
- 119,317
Wanabodi,
Kwanza tazama na kusikiliza mahojiano haya kwa kituo!.
Utangulizi: Somo la Historia ni somo la mambo ya kale kwa lengo la kujua yaliyotokea nyuma, kulinganisha na yanayotokea sasa, ili kujua kujua yale yatakayokuja kutokea siku za usoni!.
Hivyo katika kuperusi baadhi ya video za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, nimekutana na video nyingi zenye urongo wa kupikwa kwa kuuchanganya na ukweli kidogo tuu ili ku make believe kuwa kila kitu ni kweli tupu!.
Lakini miongoni mwa video hizo za urongo, nimekutana video hii ambayo ni ya kweli,
inaonyesha mahojiano ya Sultani wa mwisho aliyepinduliwa Zanzibar katika yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ya 1964, na kukimbilia uhamishoni!, huyu ni Sultan Jamshid!.
Baada ya mauaji ya Muasisi na Shujaa wa Mapinduzi yale Sheikh Abedi Amani Karume, mwaka 1972, BBC ilifanya mahojiano na Sultan huyu mkimbizi, jiji London. Sultan Jamshid alitamka wazi kufurahia mauaji yale na akawa anasubiria kwa matumaini kuitwa kurejea Zanzibar kuendelea kuwa Sultan!.
Jee hivi kweli kuna binadamu anayefurahia kifo cha binadamu mwingine?!. Mimi ni pro life, siungi mkono kifo cha aina nyingine yoyote zaidi ya kazi ya Mungu!, hata adhabu ya kifo, na sifurahii kifo chochote au kumwagika kwa damu yoyote kwa sababu yoyote ndio maana ni miongoni mwa tuliomlilia Osama, Saadam na Ghadafi!.
Siku ya Kupinga Adhabu ya Kifo
Adhabu ya Kifo: Jee kweli bado inahitajika? |
Wana JF tuungane kusema NO hukumu ya kifo
Mauaji ya Mzee Karume: Acha sasa tuhoji yasiyohojika ..
Karume Aliuwawa Na Utawala Dhalimu wa Sultan https://www.jamiiforums.com/threads/iwapo-ccm-itashindwa-zanzibar-nini-majaaliwa-ya-muungano.838604/']Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano .
Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila .
Mapinduzi ya Zanzibar: Ukweli ni Upi?
Wananchi wakitaka kujua nani alimuua nani?
Sasa jee wajua msingi wa furaha ya Sultan Jamshid kwa kifo cha Karume?!. Sikiliza kwa makini, ameeleza mwenyewe!.
Ila jee wajua baada ya kifo cha Karume, ni nini kilimkwamisha Sultan Jamshid asiitwe tena Zanzibar kuurejelea Usultani wake?!, ukikijua, naamini utajua kwa nini kuna mtu kila siku anashinda uchaguzi wa Zanzibar lakini hatangazwi!.
Sii wengi humu wanaojua kuwa miongoni mwa inteligensia kubwa zaidi duniani, ni intelijensia ya vinasaba!. Wanaintelijensia wamemaliza kazi yao zamani na kubaki kuangalia senema za siasa!.
Endeleeni kusubiria 2020 kujaribu tena, wenzenu wanaoijua historia hii na sababu zilizomo ndani ya mahojiano haya, wanawaangalia tuu jinsi watu wanavyoruhusiwa kujifurahisha kwa maigizo la uchaguzi hadi uchaguzi!.
Ukiujua ukweli utakuweka huru, ushauri wa bure, kwa 2020 badilisheni mgombea kuepuka visingizio vya taarifa za kinteligensia vya uhusiano wa vinasaba ya kuwa kumpa fulani ni kumrejelesha Sultan aliyepinduliwa kwa mlango wa nyuma!.
Pamoja na madhila yote ya Muungano yanayolalamikiwa na upande wa pili, ila kiukweli kuna maeneo fulani fulani, Muungano umesaidia!, maana just imagine, usingekuwepo Muungano huu adhimu, hali ingekuwaje?!.
Mapinduzi Daima!.
Muungano Milele.
Pasco

Jamshid bin Abdullah Al Said: Fahamu aliko Sultani wa mwisho wa Zanzibar - BBC News Swahili
Jamshid bin Abdullah alizaliwa tarehe 16 Septemba 1929 na kuwa Sultan wa Zanzibar baada ya kifo cha babake , Abdullah Bin Khalifa mwezi Julai 1963.
www.google.com