Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wandugu Kwa mimi nilikuwa mstari wa mbele sana kumtetea Mbowe kuhusu suala la ugaidi, lakini sina mwamko sana wa kumtetea Lissu na suala la Uhaini japo hana hatia na kosa lake.
4 Reactions
23 Replies
453 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hakuna Mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kujitokeza hadharani kuanza kumtetea na kumsemea Tundu Lissu . Yule Lissu hafai hata kidogo kuwepo mitaani...
0 Reactions
92 Replies
1K Views
Hi guys. Hope mnado poa. Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2. Hii ni nyepesi nyepesi. At Calvary. ==== Taarifa kwa Vyombo vya Habari. Jumamosi...
35 Reactions
467 Replies
42K Views
  • Redirect
Tulijua mmejifunza na maskio yamezibuliwa kumbe bado mna viburi na dharau kwasababu hamkujifunza October 29 suala Lissu ndo mnaenda kuzibuliwa vizuri maskio mmejaa viburi kitu ambacho hawajui...
0 Reactions
– Replies
– Views
Unakumbuka kuwa uliwahi kufanya mazungumzo ikulu na Rais Magufuli enzi hizo. Jambo kubwa kwenye mazungumzo yako lilihusu vi "memo" toka kwa wakubwa vikiwataka mtoe hukumu wanazozitaka wao...
3 Reactions
5 Replies
238 Views
BARUA YA WAZI KWA JAJI MKUU WA TANZANIA KUHUSU KUHARAKISHA KESI YA TUNDU LISSU Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Ninakusalimu kwa heshima kubwa, nikitambua nafasi yako muhimu katika kusimamia...
4 Reactions
9 Replies
480 Views
Heche anataka kuhamasisha tena watoto wa watu wakapigwe kete mtaani kisa Mhalifu na mropokaji Tundu Lissu ambaye anarekebishwa Ukonga. Hakuna Mtanzania atatoka tena baada ya kuoneshwa intro...
7 Reactions
53 Replies
1K Views
Katika mijadala mingi kuhusu biashara ya mafuta duniani, mara nyingi watu huamini kuwa mafuta huuzwa kwa kutumia barrel (pipa) kama kipimo kikuu. Ingawa kipimo hicho hutumika kama benchmark ya...
2 Reactions
12 Replies
434 Views
Kama wanafikiri kuwa kumweka gerezani Tundu Lissu ndiyo njia itakayowasaidia kubaki madarakani, inabidi wajihoji tena na watagundua kwamba hali hiyo ndiyo itakayo harakisha anguko lao.. Waliua...
14 Reactions
30 Replies
656 Views
Kesho ni siku ambayo watesi wetu wanahangaika nasi katika mahakama mbalimbali hapa nchini, wakidhani tutakata tamaa, Kesi kwa siku ya kesho ni kama ifuatavyo; 1. Jijini Dar es salaam, kesi ya...
6 Reactions
7 Replies
360 Views
Mh waziri ni nafahamu upo humu na unapitia mitandao ya kijamii na unamfahamu msanii wa maigizo anayejiita Madebe . Msanii huyu amekuwa akipakia vionjo vya porn kwenye profile zake za Facebook...
1 Reactions
4 Replies
313 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hayo leo, Aprili 10, 2026, alipokuwa akitoa maelekezo kwa Serikali katika hafla ya uzinduzi wa minara 758 pamoja na uunganishaji wa Mkongo wa Mawasiliano katika...
3 Reactions
6 Replies
255 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, TAMISEMI...
1 Reactions
1 Replies
216 Views
UFUNGUAJI WA KESI KATIKA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA UHALIFU ICC KWA MUKTADHA WA HALI YA TANZANIA Naomba nitumie lugha rahisi kwa Ufafanuzi ambayo hata asiye mwanasheria aelewa ili kuendelea kutoa...
4 Reactions
4 Replies
667 Views
Wanabodi, Kuna vitu vingine vya Magufuli alivyofanya, watu hawavijui, na sio vya kuhadithiwa, hebu msikilize mwenyewe huyu huyu Kibonge Mweusi ambaye ni 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach, bwana...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Akihutubia wananchi mkoani Mara Rais Samia amesema amefurahishwa na wimbo wa msanii Mrisho Mpoto wenye maneno yanayosema " Rais akisema na nyie ndio mnajifanya kusema saaana mbona hamkusema kabla...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimekutana na hii taarifa ya maamuzi ya rufaa ya kesi ya Bernard Membe dhidi ya Cyprian Musiba. Kwanza ikumbukwe kesi ilipokuwa inasikilizwa Mahakama Kuu, upande wa washitakiwa, yaani upande wa...
11 Reactions
36 Replies
1K Views
Bwana Chalamila, Mimi nimehudumu kwenye kamati ya Nishati na madini ya bunge kwa miaka mitano. Najua utaratibu wa uagizaji wa mafuta kama ninavyojua kiganja cha mkono wangu. BPS imeundwa nikiwa...
6 Reactions
9 Replies
325 Views
Look for any alternatives to secure release of Tundu Lisu and thereafter other issues of democracy in Tanzania to follow such as Katiba Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi and many others. Finally to...
5 Reactions
11 Replies
401 Views
Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC. Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana...
81 Reactions
211 Replies
20K Views
Back
Top Bottom