Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba levo amesema kuwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawapo bungeni kwa ajili ya kukubaliana na kila hoja inayowasilishwa, bali...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Hali ilivyo maeneo ya Kimara Mwisho - Darajani, Mbunge wa huku sijui yuko wapi aje atusaidie yeye na viongozi wengine wenzake
1 Reactions
9 Replies
409 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Stephen Mbundi, Ikulu ya Chamwino...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Solidarity with my young sister Paulina Pallangyo @ms_walterss as she faces yes another persecution because of her legitimate belief in equality of men and women. Samia Suluhu’s regime has...
2 Reactions
2 Replies
224 Views
Kuna vitu anajutia, ila it's too late. Video hii hapa: Halafu mumewe Andendelile Mwainyekule pia katenguliwa nafasi ya u -CEO wa EWURA.
8 Reactions
81 Replies
3K Views
Akichangia hoja bungeni leo Aprili 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kusini, Fadhili Chilombe amesema haya; "Serikali iongeze usimamizi wa kazi za TARURA. Ziko baadhi ya sehemu katika nchi...
0 Reactions
2 Replies
120 Views
Akichangia hoja bungeni leo Aprili 13, 2026 Mbunge wa Jimbo la Bariadi, Masanja Kadogosa amesema haya "Lazima kama taifa tujiwekee mpango kwamba tunaanza pengine usafiri wetu wa public, mabasi...
0 Reactions
3 Replies
177 Views
Moja ya sababu kwanini Tanzania ilipigwa ban ya visa in US, ni tuhuma kwamba watanzania wanatumia sana kodi za serikali ya US kwa kuomba benefits mbali mbali badala ya kufanya kazi. Lakini...
2 Reactions
1 Replies
187 Views
Waziri Kombo Akutana na Waziri wa Singapore Kuimarisha Uhusiano na Ushirikiano wa Kiuchumi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na...
0 Reactions
2 Replies
146 Views
Waziri Kombo akutana na Waziri Mambo ya Nje wa Seychelles Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo(Mb), amekutana na kuzungumza na Waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Balozi Kombo Azungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Kongeza Ushirikiano katika Biashara, Nishati na Masuala ya Kikanda Waziri wa Mambo ya Nje na...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
“You need to be silent!” — Karoline Leavitt’s tweet targeting Pope Leo XIV backfired spectacularly when he read every single word live on television, capturing the nation’s attention and leaving...
1 Reactions
3 Replies
428 Views
Hili ndio tatizo: Kulinda wauaji, majizi na mafisadi hata kama yanagharimu nchi na watu wake Huu mfumo una nguvu katika nchi za hovyo hovyo na kidogo umedhibitiwa katika nchi zilizostaarabika...
5 Reactions
2 Replies
196 Views
  • Featured
Kwa mujibu wa tafiti iliyofanywa na Cloudwards 2026 ikihusisha nchi 171 ikitathmini viwango vyao vya udhibiti wa mtandao kwa kutumia vigezo vya; matumizi ya majukwaa ya mitandao ya kijamii...
8 Reactions
10 Replies
935 Views
  • Featured
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola na taasisi za usimamizi wa uchaguzi kutoa majibu ya haraka kuhusu kile alichokiita "Mauaji ya...
14 Reactions
16 Replies
1K Views
Dkt. Marandi wa Iran alisema "BBC ni mbaya sana, mbaya sana." Mmoja wa waandishi wao wa habari alidai Wairani wanataka silaha za nyuklia zitumike dhidi yao.
1 Reactions
5 Replies
235 Views
Wakuu Salama, Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio. Edga Mwakabela (Sativa) Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele...
52 Reactions
378 Replies
23K Views
Kama UNO wameshindwa kuwazuia Isreal na USA kuishambulia Iran. Pia wameshindwa hata kutoa neno tu kukamatwa Maduro ni wazi hivi sasa dunia ishapotea njia. Chadema wasitegemee chochote kutoka...
4 Reactions
3 Replies
167 Views
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa, Keffi (NSUK), umemtunuku shahada ya heshima ya udaktari Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, kwa mchango wao mkubwa kwa ubinadamu na jamii kwa ujumla...
9 Reactions
36 Replies
965 Views
Akijibu swali kutoka kwa mwandishi wa habari kwamba atajisikiaje endapo CCM itamvua uanachama na kupoteza ubunge, Polepole amesema aliingia jijini Dar es salaam tangu 1988 na hajawahi kutetereka...
23 Reactions
139 Replies
12K Views
Back
Top Bottom