The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,698
Japo tuliwahi kuwa na baadhi ya marais wa hovyo kama Jakaya Kikwete, huyu wa sasa sina la kusema. Sijui kama anajua anachofanya kiumbe huyu. Mungu atusaidie ikiwezekane amkutanishe na Magu japo tupumue. Inakuwaje tugeuzwe koloni la koloni letu nasi tuangalie hata kushindwa kulalamika?
Nawasilisha kilio changu.