Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,991
- 4,429
Propaganda za kupumbavu kuwahi kutokea š®š®Khs kutolewa nyeti n kwel n ujinga wa gez z, upuuzi tuu
Sahihi kabisa, hapo sijaona kosa la huyo mbunge, sijui mtoa mada ametumia kigezo kipi kusema Jamaa ameongea ujingaPropaganda za kupumbavu kuwahi kutokea š®š®
Faida ya kuomba ipo wapiInabidi Tukomae Kwa vitendo, Sisi Binadamu tumeachiwa mamlaka ya kubadilisha Hali zetu za maisha, Unapata unachostahili kulingana na maamuzi, matendo yako uliyofanya... Ukweli ni kwamba bila kuchukua maamuzi ya kufanya kitu hata uombe ukiwa uchi hutoboi.
Faida ya kuomba ni kujipa tumaini tu kuwa Hili Jambo linawezekana, tumaini bila vitendo ni upepo Tu.Faida ya kuomba ipo wapi
Kwa hiyo Mungu hawezi tena kufanya pasipo na njia pawe na njia?Faida ya kuomba ni kujipa tumaini tu kuwa Hili Jambo linawezekana, tumaini bila vitendo ni upepo Tu.
Njia iko ndani mwako, Kila mahali pako na njia, ni Jambo la kuwa na ujasiri wa kuifungua njia iliyofungwa au iliyojifungua kidogo.Kwa hiyo Mungu hawezi tena kufanya pasipo na njia pawe na njia?
Haujajibu swali , umeleta tu wazo jingineNjia iko ndani mwako, Kila mahali pako na njia, ni Jambo la kuwa na ujasiri wa kuifungua njia iliyofungwa au iliyojifungua kidogo.