Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mh Rais Magufuli mara kadhaa katika hotuba zake hupenda sana kutumia neno nachukua hatua kadhaa ili wanyonge wa nchi hii waweze nao kufaidi mema ya nchi yetu, anasema anafanya mabadiliko na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wabunge wetu hawataki tukope kwa kuogopa deni la Taifa. Wabunge wetu hawataki tufinance miradi mikubwa kwa fedha za Serikali. Wabunge wetu wanachukia serikali inapodhibiti mianya ya ukwepaji...
15 Reactions
112 Replies
9K Views
  • Redirect
Mahakama kuu ya Dar es salaam imemhukumu muigizaji wa filamu, Elizabeth Michale, maarufu kama 'Lulu', kifungo cha miaka miwili baada ya kumtia hatiani kwa kuua bila kukusudia msanii mwenzake...
0 Reactions
Replies
Views
Habari za majukumu wana JF. Tunashukuru kwa kupewa updates za maendeleo ya matibabu ya Mh Tundu Lissu pamoja na gharama zake. Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua maendeleo ya matibabu ya dereva...
2 Reactions
70 Replies
5K Views
Katika historia kuna aina kadhaa za mawakala wa mabadiliko yoyote Yale duniani ( Change agents). Kwa mfano, kuna The Negotiators ndani ya kundi hili wamo Martin Luther King, JK Nyerere, Nelson...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa ufupi Kigwangalla anasema rushwa katika ugawaji vitalu; migogoro ya ardhi kati ya wananchi na hifadhi na utoaji vibali vya uvunaji magogo ndizo sababu kuu zilizowaondoa watangulizi wake. By...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu wote, wote tumejionea matendo na mienendo tangu serikali hii iingie madarakani. Maslahi ya Wafanyakazi yamepuuzwa sana kwa kuleta visingizio vya uhakiki ambao si kweli, pia imeelekea...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Nilidhani kubana pesa za safari za nje ya nchi zisizo na tija na kutumia pesa hizo hizo kununulia vyombo vya usafiri kama ndege, meli na hata ujenzi wa reli itapendeza! Sasa nashangaa mbona...
1 Reactions
2 Replies
725 Views
Tanzania imesitisha mkataba wa Miaka. 25 ya Uindaji iliyouingia na familia ya Mfalme wa Umoja wa.Falme.wa Kiarabu (UAE). Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangala ameagiza Taasisi...
8 Reactions
42 Replies
6K Views
  • Redirect
Mkuu wa Mkoa wa Lindi kuwachukulia hatua watumishi wa umma ambao hawajajitokeza kufanya mazoezi ya viungo kwa madai kwamba wamekiuka agizo la Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu la kuwataka...
0 Reactions
Replies
Views
Akizungumza leo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa asema kuwa, Magari yote ya Serikali yanapaswa kutengenezwa na WAKALA wa ufundi wa umeme (Tanzania Mechanical and...
8 Reactions
249 Replies
24K Views
Hapa chini ni hotuba ya Mh Mbowe, M/kiti wa CHADEMA kwenye kampeni za chaguzi ndogo. Najiuliza tu, kama yaliyomo kwenye hotuba hii, yanawakilisha ilani ya chama iliyokuwa na kaulimbiu ya Ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Redirect
Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Utawala Bora,Capt.George Huruma Mkuchika,ameionya Halmashauri ya Ujiji kuendelea na mpango wake wakuwa ndani ya OGP wakati Serikali Kuu imejitoa...
1 Reactions
Replies
Views
Ni jambo la kutafakari juu ya urafiki kati ya Magufuli na Kagame. Binafsi nimependezwa sana na maendeleo ambayo Kagame ameiletea Rwanda, lakini niko macho sana na gharama ambayo Rwanda wamelipa...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Naomba kujua alipo huyu kijana aliyekuwa na uwezo wa kumjibu mwenyekiti kwenye vikao bila kupepesa,kijana wa mwisho kuwa na mvuto ndani ya uvccm sasahivi yupo wapi?
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Muongozo wa Mbunge wa Mafinga, Cosato Chumi kuhusu taasisi iliyotoa matangazo kwenye vyombo vya habari ikitaka wanafunzi wa vyuo vikuu waliokosa mikopo waombe mikopo katika taasisi hiyo kwa kutuma...
3 Reactions
93 Replies
19K Views
Anaandika Moses Machali! Mbunge wa zamani Kasulu Mjini Nimeona watu mbalimbali kama wakistuka baada ya kusikia kwamba deni ya Taifa limeongezeka kwa Asilimia 17 kutoka Dolla za Kimarekani Bilioni...
9 Reactions
74 Replies
11K Views
UNAUMIA JINSI WANAVYOMSHANGILIA? NISIKILIZE MIMI. Baada ya Idd Amin kumpindua aliyekuwa Rais wa Uganda (Milton Obote) kazi kubwa aliyokuwa nayo ni kueneza propaganda kwa wananchi wa Uganda ili...
54 Reactions
153 Replies
13K Views
KATIKA kuelekea katika Tanzania ya viwanda, Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania wazalendo kuwekeza miradi mbalimbali hapa nchini badala ya kusubiri watu kutoka mataifa ya nje. Ndugai...
1 Reactions
5 Replies
888 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…