Bado yupo kwenye siasa ama anafanya shughuli zake binafsi?Yupo hapa Dar ni kada tiifu wa Ccm
Bado yupo kwenye siasa ama anafanya shughuli zake binafsi?
2015Tangu lini?
Naomba kujua alipo huyu kijana aliyekuwa na uwezo wa kumjibu mwenyekiti kwenye vikao bila kupepesa,kijana wa mwisho kuwa na mvuto ndani ya uvccm sasahivi yupo wapi?![]()
![]()
Na amekuaHABARI,
Niliwahi sikia kwamba alikuwa Kambi ya lowasa na wakakosana na Ridhiwani na kwa nguvu ya maamuzi ndani ya chama Ya Ridhiwani kipindi hicho Malisa akapunguzwa nguvu.Ila nimesikia kwa sasa Malisa bado ni mwanachama mtiifu na anafanya bishara zake kama wanachama wengine ninamtabiria makubwa sana ndani ya chama kama kweli hayo niliyoyasikia ni kweli.
Utiifu ndio nguzo pekee mwanachama anayotakiwa kuwa nayo ndani ya chama.
LUMUMBA
Amekuwa nani?Na amekua
Ulimtabiria mazuri
Alikula uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa Mbeya.Amekuwa nani?
Tanzania0001Naomba kujua alipo huyu kijana aliyekuwa na uwezo wa kumjibu mwenyekiti kwenye vikao bila kupepesa,kijana wa mwisho kuwa na mvuto ndani ya uvccm sasahivi yupo wapi?![]()
![]()
Jamaa alikuwa jembe sana, You Know 😂
You know manyoko una kamasi kichwani nn?Jamaa alikuwa jembe sana, You Know 😂
Sahivi ni RC MbeyaYupo hapa Dar ni kada tiifu wa Ccm