Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mwaka 2011 Paul Makonda akiwa ni mwanachama wa UVCCM alitoa Tamko hili lifuatalo. Swali langu kwa leo ni jee Leo Makonda akiona vijana wenzie ndani ya UVCCM wakitoa tamko kama hili dhidi ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sometimes huwa nawaza badala ya kulifanyia matengenezo gari la Lissu lillomiminiwa risasi zaidi ya 30 kama Tembo, ni bora gari lile likahifadhiwa mahali, ikiwezekana hata makao makuu ya chama, ili...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Kauli za Prof.Mwandosya baada ya matokeo ya mgombea urais CCM Profesa Mark Mwandosya alisema majina matano yaliyoletwa kamati kuu hayakupitia kamati ya maadili ila yalikuwa majina ya mwenyekiti...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbunge wa Mbeya mheshimiwa Joseph Mbilinyi alimtolea uvivu waziri wa elimu prof Ndalichako kufuatia ripoti yake aliyoitoa kuhusu mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu hapa nchini Sugu amesema...
21 Reactions
112 Replies
11K Views
Ndugu zangu, Jana na leo kwenye gazeti la Mtanzania kuna habari kumhusu Dr Slaa na anavyoishi akiwa ughaibuni. Inasemwa, kuwa kuna wenye kumshangaa Dr Slaa kufanya kazi ikiwamo ya kwenye duka...
11 Reactions
81 Replies
9K Views
1. Uwanja wa Ndege Chato 2. Kupaa deni la Taifa 3. Sekta Binafsi 4. Wabunge wa Zanzibar 5. Kushambuliwa kwa Lissu 6. Hoja ya Mbowe Mambo haya yote yameonyesha wazi kua Serikali haiendi sawa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Redirect
Kwa nini watz wanalazimishwa kwa maneno kuuombea utawala huu !! Kwa nini ushawishi wa kuunga mkono ni wa kulazimisha kwa maneno yarudiwayo kila siku , tatizo liko wapi !! Naamini matendo...
1 Reactions
Replies
Views
Naomba kupata ufahamu kutoka kwenu great thinker chimbuko la watawala hawa (Kagame na Mseveni), kutokana na story za mtaani inasemekana walikuwa wamoja katika harakati mbalimbali. Naombeni...
1 Reactions
4 Replies
928 Views
Kapataje uinjinia? na kiwango chake cha elimu kikoje? tujue haya kabla hajaanza kutimua kazi walimu wakuu kama alivyosema kuwa atawatimua kazi kama atawakuta wanafunzi wasiojua Kusoma Kuhesabu...
1 Reactions
100 Replies
21K Views
  • Redirect
Jamani kuendelea kumlipa mishahara na posho mtu mwenye akili za kiwango cha chini kiasi hiki ni kulitendea haki taifa? Hivi hakuna njia ya kikatiba au kisheria kumng'oa mbunge "hewa" kama huyu?
24 Reactions
Replies
Views
Heshima, Kukua kwa uchumi wa nchi au kupata maendeleo kwa nchi lazima kuendane na hali za maisha ya watu kubadilika, kutoka duni kwenda bora. Nimeangalia takwimu ambazo ni indicators for...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Mimi nafikiri turudishe yule "mjusi mkubwa" alieko Ujeruman pamoja na "fuvu" la Mkwawa tukaongeza na vivutio vingine vya kuzugia alafu tukaviweko huko Chato katika mazingira mazuri huenda...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Pemba inahitaji airport kubwa kuliko Chato. Wasafiri wapo na wafanyabiashara wapo wengi tu tena wa Kimataifa. Pemba tuna mazao ya Biashara ya Kimataifa. Pemba tunaingiza Watalii wengi sana kuliko...
10 Reactions
122 Replies
14K Views
Mungu alimuumba MTU akampa akili, ufahamu, ujuzi, taalamu na maarifa. Ndo maama leo mtu akiumwa hatakiwi kwenda kanisani na msikitini kuombewa anatakiwa aende hospital akatibiwe. Mungu aliumba...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mh Nape anasema kuwa haoni umhimu Wa serikali kuwekeza kwenye miradi mikubwa!!lakini kama serikali ikiwekeza humo kwenye miradi mikubwa inawafanya hata sekta binafsi kufanya vizuri ili kushindana...
1 Reactions
4 Replies
987 Views
Jana niliandika mada kuhusu kushake kwa diplomasia ya Tanzania kimataifa. Ulikuwa ni ushauri tu kwa viongozi wetu ambao kimsingi siyo watawala kwakuwa tume/wamechaguliwa. nilipata kebehi KUTOKA...
12 Reactions
47 Replies
4K Views
Leo,katika kipindi cha Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Bungeni Dodoma,Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe alimuuliza Waziri Mkuu,pamoja na mambo mengine,kuhusu wachunguzi wa...
14 Reactions
139 Replies
9K Views
Nimekaa na kuchunguza utawala Wa Rais Magufuli na nilichokiona kimenifanya nishindwe kumtofautisha sana na Rais wa TFF Jamal Malinzi. Tofauti yao pekee nimeiona katika suala la kubana matumizi...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Salaam, Kama kichwa kinavyojieleza, Rais Magufuli aliingia madarakani kwa kujipembenua kwamba anapigana vuta dhidi ya ufisadi na uwizi ambao, kwa kipindi cha miaka 20 akiwa ndani ya serikali...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom