Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Naomba kwanza niweke wazi kuwa naweka uzi huu kama sehemu ya MCHANGO WANGU kwa nchi yangu Tz. Naamini hapa JF ni sehemu ambayo serkali na viongoz wengi huchukua mawazo mengi mazuri kwhyo nmeona...
0 Reactions
9 Replies
968 Views
  • Redirect
Takribani sasa ni miezi miwili na nusu tangu rais wa chama cha wanasheria aliposhambuliwa akiwa yeye na dereva wake Huyo dereva inasemekana kwa kiasi kikubwa ndiye aliesaidia kumnusuru bosi wake...
0 Reactions
Replies
Views
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametoa agizo kwa wakuu wa wilaya na wakuu wa shule Mkoani humo kumkamata na kuwaweka ndani wazazi na mwanafunzi yeyote wa kike atakayebainika kuwa na...
1 Reactions
66 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe leo atakuwepo kwenye kampeni za udiwani Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani kata Reli. Ambapo atahutubia wananchi wa kata Reli na kumpokea rasmi...
30 Reactions
122 Replies
26K Views
Hizi ni dalili mbaya sana huko tuendako.
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Jumuiya ya watanzania wanaoishi Diaspora (Marekani) ijulikanayo kama Sixth Region Diaspora Caucus Washington kwa pamoja wameamua kuunga mkono jitihada za Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndege ilizuiwa kwa sababu tuna deni. Ilifanyiwa garnishment. Njia pekee ya kuirejeaha ndege ni kulipa deni au kukata rufaa International Court of Arbitration (ICA), a court of ICC; na tukashinde...
117 Reactions
291 Replies
31K Views
Tanzania ya miaka ya 60, 70, 90 na kuendelea ina kumbukumbu nyingi ambazo nyingi tunaziongelea katika mazungumzo yetu ya kila siku kila tunapozungumza mambo ya siasa, uchumi, kijamii na historia...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Acacia imetoa taarifa ya mabadiliko kwenye uongozi wake ambapo Mkurugenzi Mtendaji, Brad Gordon na Mkurugenzi wa Masuala ya Fedha, Andrew Wray wametoa taarifa kwa kampuni hiyo juu ya nia yao ya...
9 Reactions
299 Replies
29K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Kweli hesabu haidanganyi hili taifa lishakuwa la waongo waongo na walaghai. Tuliaminihswa makusanyo yamepanda na kila mwezi katika makusanyo tunalipa deni la taifa bil 900 inakuwaje deni linapaaa...
12 Reactions
84 Replies
10K Views
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Frederick Sumaye ambaye kwa sasa ni mwanachama wa CHADEMA, amesema upinzani hauwezi kukubali kuacha CCM iendelee wakati hali ya maisha ya...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa Amezindua Rasmi kampeni za udiwani kata Moita Monduli na kuwaambia wananchi mchezaji wa Yanga akiumia hawezi kuingia wa Simba atakuwa wa yanga tu .kampeni hizo...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Kulaani azimio la kumwelekeza mwendesha mashtaka wa ICC kuichunguza Burundi si hoja kuu, bali umelaani bila kufuata taratibu tunadhani Museven angepaswa kuzifuata. Angeitisha kikao cha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nikiangalia video hii nakumbuka mengi sana, pia mkapa kuna mambo ana kili kuhusu dhana iliyokichwani mwa watanzania endapo watamkosa mwalimu
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu, Mnamo mwezi March mwaka huu, Rais alizuia mchanga wa dhahabu(makinikia) kusafirishwa kwenda nje ya nchi. Kilichofuata ni kuundwa kwa kamati mbili za uchunguzi wa makinikia hayo...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Kama kawaida viongozi au watawala wamekuwa wakipuuza vitu vidogo ambavyo uwaingiza matatani baadae, sikiliza sakata ili kwenye video
0 Reactions
3 Replies
771 Views
Atleast 17 people were killed and 253 others injured in Tanzania, with most of the casualties occurring in the town of Bukoba , which suffered widespread damage. In the immediate aftermath of he...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Na:Faida potea Mjukuu wa Njelekela Kwa mujibu wa baraza la taifa la biashara Sekta binafsi linalenga kukuza pato la taifa kufikia asilimia 60 pamoja na kutoa asilimia 40 ya ajira kwa...
0 Reactions
1 Replies
486 Views
Back
Top Bottom