Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Nimebahatika kusikiliza kipande cha hotuba ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe aliyoitoa huko Mtwara. Ni katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika Kata ya Reli mkoani humo...
15 Reactions
83 Replies
8K Views
Rais anasahau au hana taarifa ya kutosha kuhutubia!? Upotoshaji kwenye hotuba akikabidhi vyeti kwa wajumbe wa kamati ya makinikia amesema eti reli ya mwisho kujengwa nchini ilikuwa mwaka 1905, huu...
18 Reactions
139 Replies
11K Views
Kwa kawaida, serikali yoyote ile huwa ni serikali kwa ajili ya wananchi hasa wanyonge. Serikali hii huhakikisha inafanya kazi kwa namna zote ili kuhakikisha wananchi wake wanakuwa na imani hasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Spika wa Bunge Job Ndugai amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Wang ke alipomtembelea ofisini kwake mjini Dodoma
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wamesema, kwa kila dola moja 'inayoteketezwa' kwenye ujenzi au ukarabati au upgrade ya miundombinu, kunachochea ukuaji wa uchumi kwa dola mbili! ============================================ NB...
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Hali kwa watumishi wa umma imezidi kuwa mbaya sana.Baada ya kutokupandishwa madaraja na mishahara kwa muda mrefu,sasa jinamizi hili limehamia kwenye mikopo ya bank na ile ya ndani(Internal Loans)...
9 Reactions
27 Replies
5K Views
Meya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazaro amemvaa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na kuwaambia Wananchi wa Kata ya Muriet, Ujenzi wa Zahanati ni kazi ya Halmashauri na sio kazi ya Mkuu wa Mkoa wa...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Msigwa anaenda kubwata bungeni eti Rais anaipendelea kanda ya Ziwa. Mwalimu Nyerere alifanikiwa sana kuhakikisha kuwa Tanzania inajivunia utanzania wake na sio kila kabila kuanza kujikweza au...
16 Reactions
126 Replies
11K Views
Mh Rais Magufuli mara kadhaa katika hotuba zake hupenda sana kutumia neno nachukua hatua kadhaa ili wanyonge wa nchi hii waweze nao kufaidi mema ya nchi yetu, anasema anafanya mabadiliko na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wabunge wetu hawataki tukope kwa kuogopa deni la Taifa. Wabunge wetu hawataki tufinance miradi mikubwa kwa fedha za Serikali. Wabunge wetu wanachukia serikali inapodhibiti mianya ya ukwepaji...
15 Reactions
112 Replies
9K Views
  • Redirect
Mahakama kuu ya Dar es salaam imemhukumu muigizaji wa filamu, Elizabeth Michale, maarufu kama 'Lulu', kifungo cha miaka miwili baada ya kumtia hatiani kwa kuua bila kukusudia msanii mwenzake...
0 Reactions
Replies
Views
Habari za majukumu wana JF. Tunashukuru kwa kupewa updates za maendeleo ya matibabu ya Mh Tundu Lissu pamoja na gharama zake. Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua maendeleo ya matibabu ya dereva...
2 Reactions
70 Replies
5K Views
Katika historia kuna aina kadhaa za mawakala wa mabadiliko yoyote Yale duniani ( Change agents). Kwa mfano, kuna The Negotiators ndani ya kundi hili wamo Martin Luther King, JK Nyerere, Nelson...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa ufupi Kigwangalla anasema rushwa katika ugawaji vitalu; migogoro ya ardhi kati ya wananchi na hifadhi na utoaji vibali vya uvunaji magogo ndizo sababu kuu zilizowaondoa watangulizi wake. By...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu wote, wote tumejionea matendo na mienendo tangu serikali hii iingie madarakani. Maslahi ya Wafanyakazi yamepuuzwa sana kwa kuleta visingizio vya uhakiki ambao si kweli, pia imeelekea...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Nilidhani kubana pesa za safari za nje ya nchi zisizo na tija na kutumia pesa hizo hizo kununulia vyombo vya usafiri kama ndege, meli na hata ujenzi wa reli itapendeza! Sasa nashangaa mbona...
1 Reactions
2 Replies
725 Views
Tanzania imesitisha mkataba wa Miaka. 25 ya Uindaji iliyouingia na familia ya Mfalme wa Umoja wa.Falme.wa Kiarabu (UAE). Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangala ameagiza Taasisi...
8 Reactions
42 Replies
6K Views
  • Redirect
Mkuu wa Mkoa wa Lindi kuwachukulia hatua watumishi wa umma ambao hawajajitokeza kufanya mazoezi ya viungo kwa madai kwamba wamekiuka agizo la Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu la kuwataka...
0 Reactions
Replies
Views
Akizungumza leo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa asema kuwa, Magari yote ya Serikali yanapaswa kutengenezwa na WAKALA wa ufundi wa umeme (Tanzania Mechanical and...
8 Reactions
249 Replies
24K Views
Hapa chini ni hotuba ya Mh Mbowe, M/kiti wa CHADEMA kwenye kampeni za chaguzi ndogo. Najiuliza tu, kama yaliyomo kwenye hotuba hii, yanawakilisha ilani ya chama iliyokuwa na kaulimbiu ya Ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom