Jeuri hii ya Serikali, wafanyakazi ifyekeni tarehe 26

N

NJUKWILE

Senior Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
135
Likes
175
Points
60
N

NJUKWILE

Senior Member
Joined Nov 5, 2017
135 175 60
Habari zenu wote, wote tumejionea matendo na mienendo tangu serikali hii iingie madarakani. Maslahi ya Wafanyakazi yamepuuzwa sana kwa kuleta visingizio vya uhakiki ambao si kweli, pia imeelekea kutunyanyasa wanyonge tena kibabe zaidi na kuwa na matabaka ya wazi uku wengine tukibomolewa wengine wakipewa yumani fesi.

Yote haya mungu ametupatia nafasi ya kuonyesha hasira zetu ambapo ni tarehe 26 katika box la kura, wote tukakemee udhalimu huu kwa kuinyima kura ili ikajitathimini huenda itakuja na faraja kwetu ila kuipa kura tena itakua ni kuukumbatia unyanyasaji huu. Naomba tukaifyeke kule kwenye box la kura na wakileta uhuni katika utangazaji wa matokeo tuwafyeke tena maana tushachoka sasa.
 
comrade igwe

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Messages
7,268
Likes
3,768
Points
280
comrade igwe

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2015
7,268 3,768 280
Habari zenu wote,Wote tumejionea matendo na mienendo tangu serikali hii iingie madarakani.Maslahi ya Wafanyakaz yamepuuzwa sana kwa kuleta visingizio vya uhakiki ambao si kweli,Pia imeelekea kutunyanyasa wanyonge tena kibabe zaidi na kuwa na matabaka ya wazi uku wengine tukibomolewa wengine wakipewa yumani fesi.YOTE HAYA MUNGU AMETUPATIA NAFAS YA KUONYESHA HASIRA ZETU AMBAPO NI TAREHE 26 KATIKA BOX LA KURA,WOTE TUKAKEMEE UDHALIMU HUU KWA KUINYIMA KURA ILI IKAJITATHIMINI WENDA ITAKUJA NA FARAJA KWETU ILA KUIPA KURA TENA ITAKUA NI KUUKUMBATIA UNYANYASAJI HUU.NAOMBA TUKAIFYEKE KULE KWENYE BOX LA KURA NA WAKILETA UHUNI KATIKA UTANGAZAJI WA MATOKEO TUWAFYEKE TENA MAANA TUSHACHOKA SASA
Tarehe 26 ya lini na kwenye nini ninong'oneze itakua maeneo gani hujafafanua mkuu
 
stickvibration

stickvibration

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Messages
2,532
Likes
3,804
Points
280
Age
45
stickvibration

stickvibration

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2017
2,532 3,804 280
Mleta mada unaongea na simu ama
 
majoto

majoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
1,685
Likes
1,921
Points
280
majoto

majoto

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
1,685 1,921 280
Si mchezo watu wamechanganyikwa. Kila mmoja anawaza kwa sauti na mwandiko!

Nimekumbuka usemi wa laki si pessssssaaaa
 
L

Lotisya

Member
Joined
Sep 28, 2017
Messages
82
Likes
36
Points
25
L

Lotisya

Member
Joined Sep 28, 2017
82 36 25
Natamani kufyeka hata kuwafyeka na kichwa vyao.
 
Pilato 007

Pilato 007

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2017
Messages
456
Likes
465
Points
80
Pilato 007

Pilato 007

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2017
456 465 80
Mleta mada hebu tuliza speed kwanza ili uweze pangilia mada yako vizuri
 
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Messages
1,842
Likes
1,349
Points
280
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2017
1,842 1,349 280
Kweli vyuma vimekaza hata mwenyewe nilipo nina njaa hata chai sijapata sijui cha kukushauri!
 
gango2

gango2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Messages
1,428
Likes
706
Points
280
Age
28
gango2

gango2

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2011
1,428 706 280
Habari zenu wote,Wote tumejionea matendo na mienendo tangu serikali hii iingie madarakani.Maslahi ya Wafanyakaz yamepuuzwa sana kwa kuleta visingizio vya uhakiki ambao si kweli,Pia imeelekea kutunyanyasa wanyonge tena kibabe zaidi na kuwa na matabaka ya wazi uku wengine tukibomolewa wengine wakipewa yumani fesi.YOTE HAYA MUNGU AMETUPATIA NAFAS YA KUONYESHA HASIRA ZETU AMBAPO NI TAREHE 26 KATIKA BOX LA KURA,WOTE TUKAKEMEE UDHALIMU HUU KWA KUINYIMA KURA ILI IKAJITATHIMINI WENDA ITAKUJA NA FARAJA KWETU ILA KUIPA KURA TENA ITAKUA NI KUUKUMBATIA UNYANYASAJI HUU.NAOMBA TUKAIFYEKE KULE KWENYE BOX LA KURA NA WAKILETA UHUNI KATIKA UTANGAZAJI WA MATOKEO TUWAFYEKE TENA MAANA TUSHACHOKA SASA

duu kweli tuendako hali inazidi kuwa mbaya! watu wamegeuka wanaona maruwe ruwe tuu!
 
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Messages
11,430
Likes
25,464
Points
280
Age
28
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2016
11,430 25,464 280
26/11/2017

Uchaguzi mdogo wa madiwani
Baadhi ya kata hapa nchini nadhani mleta uzi ndo amemanisha hivyo
 
Sadiki Abdallah

Sadiki Abdallah

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2016
Messages
855
Likes
538
Points
180
Age
40
Sadiki Abdallah

Sadiki Abdallah

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2016
855 538 180
Mtoa mada itakuwa anakaa mtaa mmoja dr Louis,lakini wazo lake kwa hiyo tarehe itapendeza
 
dlnobby

dlnobby

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Messages
2,537
Likes
3,241
Points
280
dlnobby

dlnobby

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2014
2,537 3,241 280
Tupo pamoja mtoa hoja..hatuwezi ongozwa na wapiga risasi
 
Mushi92

Mushi92

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Messages
3,599
Likes
2,159
Points
280
Age
28
Mushi92

Mushi92

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2013
3,599 2,159 280
Mh kina Dr shika ni wengi
 
I

IQ 2

Member
Joined
Oct 4, 2017
Messages
97
Likes
51
Points
25
I

IQ 2

Member
Joined Oct 4, 2017
97 51 25
Habari zenu wote,Wote tumejionea matendo na mienendo tangu serikali hii iingie madarakani.Maslahi ya Wafanyakaz yamepuuzwa sana kwa kuleta visingizio vya uhakiki ambao si kweli,Pia imeelekea kutunyanyasa wanyonge tena kibabe zaidi na kuwa na matabaka ya wazi uku wengine tukibomolewa wengine wakipewa yumani fesi.YOTE HAYA MUNGU AMETUPATIA NAFAS YA KUONYESHA HASIRA ZETU AMBAPO NI TAREHE 26 KATIKA BOX LA KURA,WOTE TUKAKEMEE UDHALIMU HUU KWA KUINYIMA KURA ILI IKAJITATHIMINI WENDA ITAKUJA NA FARAJA KWETU ILA KUIPA KURA TENA ITAKUA NI KUUKUMBATIA UNYANYASAJI HUU.NAOMBA TUKAIFYEKE KULE KWENYE BOX LA KURA NA WAKILETA UHUNI KATIKA UTANGAZAJI WA MATOKEO TUWAFYEKE TENA MAANA TUSHACHOKA SASA
Kuna siku moja nikiwa kwenye daladala nimekaa karibu na dereva,basi akawa analalamika kuwa vyuma vimekaza na watz hawafurahii maisha kabisa!Asema namnukuu'braza ukitaka kuamini,hebu angalia nyuso za watu tunaowapita au kupishana nao,wote wamenuna'sasa huyu mleta thread ana hoja ila uwasilishaji wake ndo shida sasa!Inaonekana jinsi alivyo stressed na hana furaha kabisa!
 
JF Member

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Messages
2,038
Likes
1,232
Points
280
JF Member

JF Member

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2014
2,038 1,232 280
Watakuwa wameshapokea salary increments zao - Wengine watakuwa mbwi.
 
Forum statistics

Threads 1,236,059
Members 474,965
Posts 29,245,320