Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Wakati mnafurahia kuteuliwa kwa Prof LUOGA, Uteuzi ambao unaanza rasmi januari baada ya Gavana wa sasa kukabidhi ofisi desemba, Mteuliwa huyo atakuwa anastaafu mwaka 2018 kwa mujibu wa sheria...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wachumi na wataalam wa fedha tunaomba tuweke hili sawa isije huko mbeleni ikaonekana hatukusema. Prof. Asad CAG ,Dr.Mpango anafahamu hili,Mwigulu Nchemba wanafahamu hili,popote duniani hakuna...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wachumi na wataalam wa fedha tunaomba tuweke hili sawa isije huko mbeleni ikaonekana hatukusema. Prof. Asad CAG ,Dr.Mpango anafahamu hili,Mwigulu Nchemba wanafahamu hili,popote duniani hakuna...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Gavana mpya wa bank kuu ateuliwa Prof.Luoga Prof.Nduru anaachia ngazi
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwenye hotuba yake baada ya kuwatunuku vyeti wajumbe wa kamati yq makinikia , JPM amesikika akisema "Unadhani tulibadilishana kwa dagaa, au unadhani tulinunua kwa Migebuka?" Itakuwa vipi...
0 Reactions
Replies
Views
Najaribu kutafakari iwapo mtandao wa reli ya kisasa utafanikiwa kufika maeneo mengi nchini na jinsi utakavyoweza kuathiri mambo mbalimbali kama vile mapato yatokanayo na kodi iliyohamishiwa kwenye...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
  • Redirect
Shekh mkuu wa bakwata amemtaadharisha Raisi jpm kuwa asiogope na wala kuchukia pale anapolaumiwa, au kukosolewa kwani huo ni wajibu wa raia waliomchagua. Akizungumza ktk hafla ya kutunuku vyeti...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa mawazo yangu, huwa ni ngumu sana kwa kiongozi yeyote kukili kwamba kashindwa. Hii vita ya makinikia naona atulie kwanza. Ni kawaida ya askali wanapoona kuzidiwa katika mapambano kuludi nyuma...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Sent from my SM-N920I using JamiiForums mobile app
5 Reactions
117 Replies
15K Views
  • Redirect
Mwenye CV yake atuwekee hapa ili tumjue yeye ni nani hasa ukizingatia anaenda kushika ofisi nyeti katika nchi yetu.
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naisikiliza hotuba ya Magufuli hapa, huyu jamaa hapendi kukosolewa kabisa. Yaani hotuba yote ni kuwazungumzia Akina Zitto Kabwe na Lissu. Wewe mkuu tambua wewe ni binadamu na unakosea. Hataki...
0 Reactions
Replies
Views
MBUNGE mstaafu wa Chama cha Mapinduzi, Omar Mjaka Ali, amesema serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inahitaji kuokolewa kwa sasa imepotea na kupoteza mwelekeo kutokana na rais kukosa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Redirect
Wanabodi, Huu ni Uteuzi wa aina yake ambao umefanyika leo kwa kauli tu. Kabla ya kutangaza uteuzi huu, aliishutumu BOT kwa uzembe ya kuachia haya, akamkumbusha Prof. Ndulu kuwa mwisho wake ni...
0 Reactions
Replies
Views
Hili ni wazo langu kuwa wajumbe wote wa kamati hizi mbili zilizoundwa kuchunguza wizi wa rasilimali zetu watunukiwe nishani ya kitaifa ili kuenzi uzalendo wao kwa nchi. Wajumbe hawa wamejitunza...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
  • Redirect
Source TBC Tv!
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Anatoka kwenye timu iliyopewa vyeti leo Ikulu. Hongera nyingi kwake.
0 Reactions
Replies
Views
JUMAPILI ya Oktoba 22 mwaka huu (2017) nilisoma na kuvutiwa na kile kilichoandikwa na mwanataaluma ya uhasibu, Kalima Nkonde ambaye ni raia wa Zambia. Nkonde pia ni mtaalamu wa masuala ya uongozi...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla leo Oktoba 22, 2017 amefuta vibali vyote vilivyotolewa na wizara yake vya uwindaji wa makampuni ili kuwa na utaratibu mpya wa uombaji kwa...
10 Reactions
56 Replies
7K Views
  • Redirect
hivi kwa nini mnabomolea watu nyumba, kwa uchumi gani mnayatekeleza haya, mtu anatumia miaka 10 kukusanya fedha, mingine 6 kujenga mpaka ikamilike, nyie mnambomolea, ili iweje. Hivi serikali...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom