Wakati mgomo wa madereva wa mabasi ukiendelea katika Kituo cha Mabasi Nane Nane jijini Dodoma, madereva hao wamesema hawatasitisha mgomo huo hadi watakapopata nafasi ya kusikilizwa na viongozi wa...
Mahojiano aliyofanya Dkt Mohamed Janabi,kuhusu Corona na clip yake aliyoisambaza zimenifanya nijiulize maswali mengi kuhusu menejimenti wa mfumo wa afya hapa nchini!
Profesa Janabi alielezea...
Watanzania wengi hata wa serikalini hawajui tofauti kati ya taifa na serikali. Haya ni mambo ambayo yanatuletea mfumo wa sasa ambao hata watanzania hawaulewi vizuri
Naona Kuna njama zinafanywa na jamhuri kutaka Lissu apewe adhabu nyingine ili kumdogosha Lissu. Kwa ushahidi wa Jamhuri na utetezi wa Lissu ni ukweli kwamba Mh Lissu hana hatia ya Uhaini. Hivyo...
TANZANIA, QATAR ZATIA SAINI MKATABA WA KUONDOA UTOZAJI KODI MARA MBILI.
Na Benny Mwaipaja, DOHA QATAR
TANZANIA na Qatar, leo tarehe 29 Septemba, 2026, zimetia saini Mkataba wa Kuepusha utozaji...
Katika ulimwengu wa habari, sheria, na uchambuzi wa kina nchini Tanzania, jina la Jenerali Ulimwengu halihitaji utambulisho. Ni gwiji na sauti ya hekima inayotazama mambo kwa jicho la mbali sana...
Tunduru – Mwananchi wa Kijiji cha Mkwajuni, Tunduru Kaskazini amemweleza Mbunge wake Ado Shaibu Ado kwa undani kero ya ng’ombe kuharibu mashamba, huku akirejelea sana ahadi ya Waziri Mkuu.
Katika...
Mwandishi Khalifa Said ni miongoni mwa sauti chache katika uandishi wa habari wa Tanzania wanaochanganya taaluma, uadilifu na ujasiri wa kusema ukweli. Ameendelea kujenga nafasi ya uandishi...
Kwa kuwa Samia Scholarship ni mpango unaotekelezwa kwa fedha na taasisi za umma, wananchi wana maslahi ya kujua fedha zinatolewaje, nani anafaidika, kwa vigezo gani, na kama uteuzi unaweza...
kaingili mhimili mwingine wa serikali unaokusanya kodi ili izipeleke jimboni kwake zikajenge barabara zake. Nguvu ya yeye kuzuia TRA wasikusanye kodi kaitoa wapi?
Ametumia vibaya nafasi ya...
Kuna haja ya vyombo vyetu kama Jeshi la Police lote na Usalama barabarani kazi yao itoke kwenye kukamata kupiga faini wangejikita zaidi kwenye kutoa Elimu kama Elimu ya Usalama barabarani mpaka...
Nimeona mitandaoni viongozi wa kiafrica wanao hudhuria mkutano huko New York Marekani wote wanatembezwa umbali mrefu mpaka kufika kwenye ukumbi wa mikutano,na pia hata ulinzi ni kama hawana tu,na...
Wakili Mpale Mpoki, ambaye amekuwa katika taaluma ya sheria kwa zaidi ya miongo mitatu, amesema mabadiliko ya Katiba ni muhimu katika kujenga mfumo imara wa kulinda haki za binadamu nchini...
Ofisa wa TRA Anastahili Kupandishwa Cheo kwa Ujasiri na Uaminifu Wake
Katika tukio la hivi karibuni lililorekodiwa na kuenezwa sana mitandaoni, maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika.
Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma...
Ukienda pangani ni moja ya sehemu zenye fukwe nzuri sana white sand beach but tatizo lilopo Pangani hakuna uwekezaji pako local sana
Pangani pakiwekezwa na pakijengwa mfano wa goldcoast...
MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:
“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo...