Maneno ya mwisho ya Tundu Lisu, leo 28.9.2026

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,228
Reaction score
102,355
MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:

“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"

Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.

Namalziia kwa neno moja:

waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini
msiogope kuniachia huru.

You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit— acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza”

Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
 
Attachments

  • IMG-20260928-WA0036.jpg
    IMG-20260928-WA0036.jpg
    215.1 KB · Views: 1
  • IMG-20260928-WA0036.jpg
    IMG-20260928-WA0036.jpg
    215.1 KB · Views: 1
Despite the liberal outlook that the accused has so heavily urged this court to consider, the law must nevertheless be given its full force and effect. We feel that our hands are tied.

We therefore sentence the accused to suffer death by hanging, to be executed in accordance with the law.

IT IS SO ORDERED.
 
MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:

“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"

Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.

Namalziia kwa neno moja:

waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini
msiogope kuniachia huru.

You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit— acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza”

Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
Lissu ana sifa zote Za kuwa mtakatifu,
(1).Ni miongoni Mwa wanasiasa ambao sikuwahi Sikia wamejilimbikizia Mali
(II) Toka secondary hajawahi acha kuwa mstari WA Mbele kupigania Hali
(III) Bungeni Muda wote amekuwa muwazi Na mwenye Nia dhabiti Na wananchi
(IV) Alishatangaziwa Pesa ili auze political bland aliyonayo kama wenzake kigoma, KLM Na wengineo Ila aliacha Pesa akastiki Na ukweli
(V) Alishamwagiwa njugu 16 Za kuondoa uhai WA mtu Ila Mungu mwenye kujua matumizi ya Chombo chake alimuokoa
(VI) Amepambana wakati mgumu Sana ambao Hakuna mwananchi aliyethubutu kuinua hata kinywa Ila yeye alisimama Imara
(VII) Hata ukimwangalia ,dhamiri Yake Ni Haki Na Wala si kisasi dhidi ya wanaomwandama, ana roho ya msamaha
(VIII) Ni MTU nafsi Yake imekufa kitambo ndio mana Hana hofu, Hana cha kupoteza

NB, Sifungamani Na upande wowote WA kisiasa, Mimi Ni mkristo mkatoliki ninayeingalia nchi yangu Kwa mapenzi makubwa , Mungu ilinde Tanzania ,Linda Raia wake , washa Nuru Kwa viongozi wake

Ameni
 
MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:

“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"

Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.

Namalziia kwa neno moja:

waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini
msiogope kuniachia huru.

You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit— acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza”

Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
Confusion !
 
Huyu watu wasichojua ni kwamba Mungu yu pamoja naye, ningekua mimi Rais ile tu kupona kwenye risasi ningeachana naye, kuna ishara ukiziona unatakiwa ujue you’re no longer fighting with flesh and blood 🩸
 
MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:

“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"

Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.

Namalziia kwa neno moja:

waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini
msiogope kuniachia huru.

You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit— acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza”

Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
go well homeboy see you later 🐒
 
Back
Top Bottom