Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia .
History tends to repeat itself
MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA
yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa...
Wote tunakubaliana MaCCM yote ni majizi.
Lakini mijizi ifuatayo Nape Nnauye, Dotto Bitiko, Innocent Bashungwa, Selemani Jaffo, Hussein Bashe, January Makamba na Ummy Mwalimu.
Sidhani kati yetu...
Na. M. M. Mwanakijiji
Mstari Umechorwa
Mstari umechorwa ardhini; wauvuke au wasiuvuke, tuvuke tu tusiuvuke. Matukio yote ya kisiasa ya mwaka huu ambayo hitimisho lake lilikuwa ni Oktoba 29...
Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka...
Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).
Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka.
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu...
Ukiangalia na kuchunguza Kwa makini hali ya mvurugiko wa kisiasa nchini kwetu, utagundua ilianza mara baada tu ya CHADEMA kumchagua Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wao Taifa.
Mpaka leo ingawa CHADEMA...
Sasa hivi anasemaje? Kama Nguvu ilikua sahihi kwa nini leo aone ya kua tumeondokewa na wapendwa au anaamini tumekwisha sahau?Hapakaliki huko?Aendelee kupambana na wananchi, jumuiya za kimataifa na...
Nimemsikia mkuu wa dola Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
Katika kusema huko hakusema nani kawaondosha hao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa katika salamu za kufunga Mwaka 2025 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2026, tarehe 31 Desemba, 2025, Ikulu Ndogo...
Utangulizi:
Uislamu unasema hivi "ukiona uovu basi kwanza uondoe kwa mikono yako,ukishindwa kwa kauli na ukishindwa kabisa basi kwa kuchukia moyoni mwako,na huu ndio udhaifu wa imani" kwa maana...
To me, nahisi by 99% ni ile interview ya Warioba.
Why? Manyerere aliyemhoji Warioba ni News reporter wa Jamhuri media. Ile interview ulikuwa mwiba mkali sana kwa serikali na matendo yake ya 29...
Polepole hakua mjinga atoke cuba na kuja nchini kuhamasisha UKOMBOZI ilihali akijua usalama wake upo rehani, hii ni mbinu ya UKOMBOZI lazima uwe tayari kuwa sadaka ili wengine waone dhamira ya...
ROADMAP 2026: SIASA ZA UTAKASO. UTU WA KALE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Leo ni January Moja 2026.
2. Namshukuru MUNGU kwa kutupa nafasi hii. Wote mnajua jinsi mwaka uliopita 2025...
Hivi maridhiano yanayobembelezwa ni yapi? Labda mtupatie miili ya kina soka mdude nk pamoja na ile miili ya 2910 na waliomshambulia LISSU wafikishwe mahakamani otherwise Bora muanguke wote nyie...
Watanzania tunajua ukubwa ni dawa sasa imekuwa tofauti kwenye jukwaa letu hili la jamiiforum ambapo hakuna uhusiano kati ya ukongwe wa mwanachama na ukomavu wa akili.
Nashangaa kuona mtu yupo...
Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo.
Nchi nyingi duniani zikiwemo...
Huwezi amini RAIS wa awamu ya NNE akiwa Waziri wa Mambo ya Nje aliwahi PIGWA zungurute kwa kuzungukwa kwa kunyimwa kupewa mgao wa RUSHWA na Balozi aliyenunua jengo la ubalozi wa Italy kipindi kile...